Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

Hongera chadema kwa kazi nzuri ya kuwaelimisha watanzania kuhusu haki yao. Tuombe mungu kesho kashinde awathibitishie kuwa hata CHADEMA WANAWEZA. Peopleeeeee'sssssssssssssssss. powerrrrrrrrrrrrr. NGUVU YA UMMA.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Na magamba tunawaonya, ole wao wakiiba kura!!!!
Unajua imeshakuwa mazoea kwao.
Double F upo? Wapelekee habari hiyo.

Laptan, umebarikiwa hekima na busara pia. Tz si nchi ya amani na utulivu, ni ya uvumilivu tu. Kesho si mbali magamba yatajua ni nini maana ya nguvu ya umma. Watu wamechoka wanasema liwalo na liwe.
 
Sasa ni wakati watanzania wakumwomba mungu ili kura za watu watakao piga kura zihesabiwe kwa usahihi bila kuibiwa wala watu kurubuniwa juu ya nani wampigie kura.

Mungu onyesha njia tunaamini sauti ya wengi ni sauti yako mungu wetu ulie umba mbingu na nchi uwaonyeshe wanaigunga kiongozi atakae wafaa wao na watanzania kwa ujumla epusha vurugu na machafuko tunahitaji amani ya kweli itokayo kwako uwatie hofu wanao nia mabaya juu ya uchaguzi wa kesho Mungu tazama kilio cha watanzania Mungu ibariki tanzania .

Mungu ibariki igunga
 
Turn out inaonyesha wa-RZ wameanza kuelewa wanataka nini!!!

Lakini mumiani CCM na timu ya kiravu ni hatari kuliko tunavyodhani!!! Kuna post moja humu nimeona mtu anasema "nyinyi (CDM) mna mbio, sisi (CCM) tunajua njia"

CCM ni genge linalojua wanataka nn...na watapaje...
 
EEh Baba wa Mbinguni ukaae mahali pa juu palipoinuka, tunajua kabisa hakuna aliye kama WEWE, tunakupa sifa zote tukijua kuwa hata hizo hila za CCM za kuwadhulumu wana-Igunga haki yao umeshazifutilia mbali na kufungua mioyo yao na fikira zao ili waweze kuwa na naufahamu kamili kwamba wao ndio wenye uamuzi wa kuwabwaga hawa mafisadi na kuwachagua viongozi wenye uchungu na hii nchi uliyotupatia ya Tanganyika.

Tunazifunga nguvu zote za mshirika wa CCM adui ibilisi na tuna watupa wote kuzimu. Tunaomba na kushukuru-Amen
 
Tunawatakia afya njema wanaigunga na kila la heri katika upigaji wa kura.

Ukombozi umewadia Mungu ahsante.
 
kesho cdm wakiilamba jimbo nitabaki kifua wazi nikishangilia. 2015 nitatembea na chupi tu
 
Amen to that!
Mimi pia nina matumaini makubwa na ushindi wa CHADEMA hiyo kesho. Lakini hofu yangu kubwa ni kwamba kati ya hao ambao hawakupiga kura na wakaamua kupiga sasa, wanaweza bado kuwa ni mashabiki wa CUF au CCM. Kwangu mimi, iwapo itashinda CUF bado litakuwa ni jambo jema. Cha msingi CCM isipate jimbo Igunga. I hate CCM.
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php



Kama umati huu wote wanasifa za kupiga kura na wakapiga kura kesho basi jimbo hili chadema italichukua......

Naomba kuongeza neno moja!
kama umati huu wote wanasifa za kupiga kura na wakapiga kura kesho na "kura hazitachakachuliwa" basi jimbo hili chadema itachukua.
 
hivi nyie mnaotaka kuwagawa watanzania kwa kanda au makabila siku hiyo nia yenu ikitimia mtafaidikaje? Nani kakwambia ccm inapendwa kila mahali? Mbona viongozi wake wanazomewa maeneo mbalimbali ya nchi hii?
watanzania tuwe na hofu ya mungu sasa si wakati wakulumbana ni wakati wakumwomba mungu ili uwepo wake udhihirike siku ya kesho wanao nia mabaya wafedheheshwe na warudishwe nyuma haki yako mungu wetu ikatendeke uwaonyeshe njia wanaigunga na watanzania kwa ujumla.

Mkuu mtazamo wangu juu ya igunga kwa sasa nikumwomba mungu kwa ajili ya amani ya igunga na tanzania kwa ujumla lengo wanaigunga wakapate nafasi yakuchagua kiongozi anae wafaa bila kujali kabila ,udini ,itikadi za vyama mahali mtu atokako .ewe mungu mungu mwenye uweza na mamlaka utusaidie
 
Wana JF na wapenzi,wanachama wa CHADEMA hebu turejee matokeo ya Uchaguzi mwaka 2010 ili tupate picha halisi ya kile kitakachotokea kesho Igunga. Linganisha MATOKEO YA URAIS na MATOKEO YA UBUNGE kwa jimbo la IGUNGA halafu fanya HESABU ZA KUJUMLISHA,KUZIDISHA NA KUTOA UKIZINGATIA KUWA MWAKA 2010 CHADEMA haikusimamisha MGOMBEA UBUNGE. Hata hivyo kwenye MATOKEO YA URAIS TUNAONA CHADEMA INA KURA 8,000+ This is an indicator that CHADEMA has got a CAPITAL VOTES OF 8,000+. NOW TO THIS 8,000+ MULTIPLY BY 3( MEANING THAT KUNA VOTERS WALIKUWA WAMPIGIE MP WA CHADEMA AMBAYE HAKUWEPO WAKA OPT KUMPA WA CCM na WENGINE WA CUF. Kwa mazingira ya kesho MP wa CHADEMA yupo. 8,000+ DUOBLE THE FIGURE(8,000 X2 =16,000 CAUSE OF SIASA UCHWARA WHICH WAS NOT THERE IN 2010) KWA HIYO double waliompa Dr. Slaa watampa Kashindye,and another figure of the same number WHO VOTED FOR CUF shall tomorrow vote for CDM,and another 8,000+ WHO VOTED FOR CCM shall tomorrow vote for CHADEMA.By quick arithmetic 8,000+doubles x 3 =72,000 votes for CHADEMA.Assuming that VOTERS REGISTERED IS 100,000+ LAKINI WALIPIGA KURA WALIKUWA 49,000+.

CCM ANABAKI NA NGAPI? 35,674-8,000X2=19,000 KWA BAHATI.
2010 Parliamentary Election Results - As receveid by NEC
Help | Disclaimer | Privacy | Site Feedback
Copyrights ©2008, The United Republic of Tanzania, National electoral Commission All Rights Reserved
Designed and published by DataVision International (T) Ltd​

Search By:
Election TypePresidentialParliamentary
Region Please select the region ARUSHADAR ES SALAAMDODOMAIRINGAKAGERAKASKAZINI PEMBAKASKAZINI UNGUJAKIGOMAKILIMANJAROKUSINI PEMBAKUSINI UNGUJALINDIMANYARAMARAMBEYAMJINI MAGHARIBIMOROGOROMTWARAMWANZAPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASINGIDATABORATANGA
District
Consituency
Ward
TABORA
WILAYA YA IGUNGA
IGUNGA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
ROSTAM AZIZI ABDULRASOOL
CCM
35,67472.78
LEOPOLD LUCAS MAHONA
CUF
11,32123.1
SPOILT VOTES 2,018 4.12
TOTALS 49,013 100
Presidential Candidates:2010
UPDP

DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA
CCM

KIKWETE JAKAYA MRISHO
APPT - MAENDELEO

KUGA PETER MZIRAY
CUF

LIPUMBA IBRAHIM HARUNA
TLP

MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT
NCCR-MAGEUZI

RUNGWE HASHIM SPUNDA
CHADEMA

SLAA WILLIBROD PETER
Search By:
Election TypePresidentialParliamentary
Region Please select the region ARUSHADAR ES SALAAMDODOMAIRINGAKAGERAKASKAZINI PEMBAKASKAZINI UNGUJAKIGOMAKILIMANJAROKUSINI PEMBAKUSINI UNGUJALINDIMANYARAMARAMBEYAMJINI MAGHARIBIMOROGOROMTWARAMWANZAPWANIRUKWARUVUMASHINYANGASINGIDATABORATANGA
District
Consituency
Ward
TABORA
WILAYA YA IGUNGA
IGUNGA
Candidate
Political Party
Number of Votes
Percentage Votes
KIKWETE JAKAYA MRISHO
CCM
34,09069.39
SLAA WILLIBROD PETER
CHADEMA
8,87418.06
LIPUMBA IBRAHIM HARUNA
CUF
3,1816.47
KUGA PETER MZIRAY
APPT - MAENDELEO
8181.67
RUNGWE HASHIM SPUNDA
NCCR-MAGEUZI
1430.29
DOVUTWA YAHMI NASSORO DOVUTWA
UPDP
770.16
MGAYWA MUTTAMWEGA BHATT
TLP
570.12
SPOILT VOTES 1,888 3.84
TOTALS 49,128 100
 
Sidhani kama nyie viwavi wa cdm mnafikiria vizuri hivi umati ndio kupiga kura acheni ushamba
 
Wewe jibu bwana, umeshaacha kupiga punyeto? Si uliingia jf ukiwa na tatizo? Si uliomba msaada? Si ulisema uume karibia utakatika kwa punyeto?
Tupo kwa ajili ya kukusaidia kijana, sema kama ushaacha kupiga nyeto?
mkuu naona ilo swali lako c mahali pake kaulizie kulekule ntakujibu,ila ukweli ni kuwa kafumu anaenda bungeni kesho tena kwa kishindo cdm subiri nafasi ya tatu igunga sio kilimanjaro!
 
Update tumeipokea lakini umetunyima actualities,tungependa sana kuona coverage ya picture,maana wengine si unajua mambo ya kufukuzana kutafuta mkate,maana kuna wanamagamba hawataki hata tupate sconzi na chai kisha tulale kusubiri kesho, hivyo hatukujua kama Clouds wako live.anyway what matters ni zile hope na expectation zetu itendeke hivyo.

Binafsi namuomba mungu atusikilize kwa hili,kwani kama sio upeo wangu mdogo basi ni kweli usiopingika kuishabikia CCM na hata kuipigia CCM kwangu nisawa na laana ya kufanya mapenzi na mama yangu mzazi, haniingii akili kwa resources nyingi tulizo nazo watanzania lakini bado matatizo ni mengi ambayo kwayo ni wajibu wa serikali kuhakikisha matumizi ya rasilimali hizi zinatumika vizuri pasipo tamaa na uchoyo.

Leo shule hazina madawati,hakuna vitabu, hapa hapa Dar watoto wanakaa chini, mgawo wa umeme, maji hakuna hapa hapa, bado maji ni ya vidumu, hakuna madawa hospitalini, dhuluma mahakamani na polisi, hakuna miundo mbinu ya barabara hasa huko vijijini na mikoani,pita leo kariakoo utakataa kama uko Dar, leo bado nchi in njaa, ufisadi wa kila aina tena ulio wazi na hakuna anaelikemea,jamani ni mengi sana nitayaandalia siku niwakumbushe.

Tuombe heri wana-Igunga kesho walikomboe jimbo hilo,kwani kinachofanyika kwa CCM ni utapeli na usanii unaonuka kama kinyesi, kwani iweje Magufuli aje aseme ataandaa bajeti maalumu ya kujenga daraja la Mbutu?lina miaka mingapi, maji hayo ya kutoka ziwz victoria mpaka bunge linaisha juzi sikusikia kama walipanga kuyapeleka Igunga.kwa haya bado siko tayari kuinga mkono CCM-MAGAMBA-MAFISADI,Nasema NO,Tena BIG NO.

Nina hakika hwana uwezo wa kujirekebisha maana hakuna aliemsafi ndani ya CCM kila mtu anajua ufisadi wa mwenzio, leo nani atasimama na kusema Lowas tupishe wewe ni fisadi, ikumbukwe kwamba walipojaribu kina Msekwa kuwa hoji kina Lowasa, yaliishia wapi?Muda mfupi ikaanikwa wazi kumbe Msekwa nae fisadi huko kwenye National park zetu.

For hata mahubiri na mawaidha hayawezi kunishawishi juu ya Magamba haya nikayakubali, NEVER EVER ON EARTH.
Nawasilisha
 
Aisee ..nimeiona hii kitu ITV. CCM nao wamejikusanyia watu kiasi ..ila walikuwa wamezubaa kama vile wamelazimishwa..! Ule umati wa CHADEMA ulikuwa vibrant mbaya..yaani ni balaaa! I wish wengi wao wawe wapiga kura watarajiwa!
 
Nimeona kwenye TBC1, watu wengi mno. The rest tumwachie Mungu atende, wenye kunyima watu haki zao walaaniwe na wapigwe upofu pale watakapojaribu kugeuza ubatili kuwa kweli.
 
Back
Top Bottom