Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

Inatia moyo sana.
Ukiona kijana anashabikia CCM aka magamba huyo kichwani mwake hazijatimia.
 
Kilichonifurahisha ni dua ya ustadhi nikashangaa si walisema watawaombea CDM dua ya kuwalaani nikashangaa wanaombewa baraka. Mungu awajalie CDM mshinde ninyi ndo watetezi pekee wa wanyonge.
 
Chadema ushindi ni lazima kwani sie vidume...anae umia aende zake akajivue gamba ahera....people.............."s .........powerrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Daah huo ni uchaguzi mdogo tu wa jimbo la Igunga sijui 2015 itakuwaje serikali inapaswa kuzingatia haya yoote vingenevyo icc inawasubiri
 
Hiyo kauli inatoka mdomoni au rohoni? utakunywa tu, we endelea kusubiri tu, simmezoea uchakachuaji
 
kesho cdm wakiilamba jimbo nitabaki kifua wazi nikishangilia. 2015 nitatembea na chupi tu
Changu Doa Mzoefu utembee uchi kisa? Hatuna haja ya kuona masaburi yako bana, wewe vaa nguo zako sherehekea mageuzi. Usitafute visingizio vya furaha kumbe nguo zimekuishia.
 
wewe pumbavu tu iyo tindikali kamnyweshe kwanza mamako,,pumbavu we
We Jaluo "jaduong" matusi yote ya nini/ huna mama wewe? mama wa mwenzio kumtukana kisa nini? we mama yako hakuumwa uchungu kukuzaa? abilo goi. Bora umtukanie baba yake kuliko mama muombe radhi.
 
Back
Top Bottom