Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Jamani iko LIVE hata sasa Clouds au umesha isha sasa ?Kama bado nienda LIVE na clouds nisikie kuna nani .Leo sitakubali kukosa habari kuona maneno ya mwisho.

Mungu wabariki Watanzania wa Igunga wajue umuhimu wa kumpata mwakili na uwalaani wale mashehe wali wanao leta fitina ili kuisaidia CCM.
 
Mna maana wana Igunga wamemkimbia Mzee Mkapa? hebu leteni picha sisi wengine hatupendi majungu
 
kweli regina mwalekwa katiririka vibaya sana clouds anasema mkutano wa chadema funika bayaaa....
 
pamoja sana Mungu atuongoze maana hawa magamba wana mbinu nyingi za kuiba kura...
 
Regina Mwaleko wa clouds FM alikuwa akiripoti live kutoka Igunga na amesema kwamba mkutano wa CDM umejaa watu wengi sana na kupelekea CCM na CUF kukosa watu kwenye mikutano yao. Hivi sasa makamanda wanajitambulisha na kuhimiza wananchi wa Igunga kujitokeza kwa wingi kesho kupiga kura. Mungu ibariki CDM, Mungu ibariki Tanzania

Tunashukuru kwa taarifa, huo ujumbe umefika mahari pake! Kesho tena endelea kutupa news, sikunjema!
 
Hali ya namna hii itawafanya magamba usiku wa leo wabebe mamluki kwenda kupiga kura.
 
Ni kweli CCM wanaweza kuwa wanaiba kura lakini pia nafikiri mashabiki wetu ni watu waliokata tamaa, vijana wa vijiweni ambao wengi wao hawajajiandiksha.
Ni kweli kabisa vijana wengi hawajiandikisha, na hii inaweza kuwa nzuri kwa ccm!
 
Kaka Mwita Maranya, unajua kwamba " a drowning man will clutch a straw".
Huyo anayeleta poroja JF anatapatapa.
 
Mi nadhani tatizo kubwa watu huwa hawajiandikishi, au majina hayaonekani siku ya kura na hivyo watu kukosa haki yao ya kumchagua mwakilishi wao wanayemtaka.
 
Back
Top Bottom