Mkutano wa CUF katika viwanja vya Jangwani

Mi nimependa wimbo tu.c.c.m ikifa mimi siwez kulia nitaitupa kagera iwe chakula cha mamba....
 
Mtatizo ana kichaa ,sijui akiruka na watu watamshika vipi hapo..kachanganya mboga. Anasema kuna watu wanataka rudia magwanda ya CCM.Magwanda yanamsumbua sana katika fikra.

Halafu akashutumu kuwa CDM na CCM kuwa wanasema CUF ni chama cha kiislam.Ila hajui kuwa CCM ndio wanasema hivyo na CDM wanasema kuwa CUF ni CCM B ".
Kila kitu hawa jamaa wapo wrong. Kuanzia kwa Mchungaji feki. Hadi kwa mikakati yao na uhasilia wa kauli zao.
 
Kwa mbali naona difendar limepak polis wakivuta sigara na 2mbaku
 
Cuf wanatia huruma sana,maana wako vitani na awana uhakika na adui wake..!
 
Jaman naomben mnisaidie
hapa kama naona na usalama hupo au??
Ni nani aliyekula suti black nyuma MACHANO!
 
Mtatiro anamwaga sera sasa anadai prof lipumba anadigrii 4 na ni mchumi wa africa

chezea Profesa weye, sio sawa na Yule aliepata Phd ya kanisa kwa kutumia Certificate ya chuo cha seminary, ukiwauliza Phd ya kanisa italisaidia vipi taifa badala ya majibu yanatoka mapovu
 
Wito wa waslam kuingia Cuf na hii imedhihirisha lengo lao!
 
Back
Top Bottom