OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
CUF yenyewe ina hazina ya viongozi?? mbona basi wamefunga ndoa na ccm? kwa nn wasingesubiri washinde zanzibar waunde serikali bila ndoa na magamba? Lipumba ana degree 3 fine zimesaidiaje taifa hili maskini??si hata bungeni hoja yoyote ya ccm inaungwa mkono na cuf kwa nn isiitwe ccm B?