mwankuga
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 334
- 120
- Thread starter
- #21
[/QUOTE]Tarehe 14/12/2011,mikutano kama hiyo itaendesha kwa kila wilaya,tarehe 21/12/2011,kila kata na tarehe 28/12/2011,kwa kila kijiji.Baada ya hapo,Chadema Taifa litawaelekeza nini cha kufanya wananchi hasa pale kama maoni yao hayatasikilizwa.Kikubwa zaidi,ni kwamba kama hakutakuwa na mabadiliko ya sheria hiyo katika kikao cha Bunge cha mwezi Januari/Februari,basi CHADEMA itasusia mchakato wa Katiba na People's Power itachukua mkondo wake.
hapo ndio patamu.....ki ukweli elimu ya uraia vijijini ni zero...watu hawajui katiba ni nini...watu hawajui siasa ya vyama vingi....watu mpaka sasa wanaamini wakichagua vyama vingine kinachofuata ni vita tu...ki ukweli katika ili tuhakikishe tunatekeleza..."GOD BLESS TANZANIA AND BLESS CHADEMA"
Kama mpango huo utafanikiwa,CCM itakuwa imepigwa tatu bila,maana mtaji wa Magamba ni watu waishio vijijini.