Mkutano wa Chadema M4C-Iringa wasitishwa!

Ikiwa mkutano umehairishwa kwasababu ya msiba,.. ita "hold water" zaidi lakini kupisha zoezi la sensa..Mhh hapana!!...
Damu ya Ally Zona imemwagika katika mazingira ya harakati za kupigania utu na demokrasia katika ardhi ya MAIGIZO ya Demokrasia na haki...Kitendo cha kuipuuza na kuendelea na operation kitatoa picha ya tofauti juu ya lengo hasa la Operation M4C!!..
Ikiwa CDM watapostpon ziara ya Iringa hata kwa wiki zaidi,..ntaendelea kuwaamini zaidi.Maana ninaujua umuhimu wa kujenga Imani hapa Morogoro miongoni mwa mioyo ya watu hapa,..Kwanza hii ilikua ngome imara ya CCM kwa wakati wote (kabla ya mwezi uliopita)..Wakati Iringa Imeshakombolewa ni sehemu ndogo tu imebakia,.ambayo hata Rev Msigwa na Abwao wanaweza kumalizia,.Tusiwe na haraka huku tukiacha hawa wenzetu tuliotoka kuwakomboa wakiwa njia panda!!..
Makamanda naomba Tubaki hapa Moro,.Tuwape Moyo wa Kusonga mbele na utayari wa kupigania haki hata kwa damu yetu wenyewe...Tuwaondoe woga, wachache wanaonesha hali ya kutaka kukata tamaa,.Tuwashike mkono twende nao!!
Well done, haya ndio niliyokuwa nayasema na ww sasa wayasema, CDM wamemuua huyu kijana ila kupata umaarufu wa kisiasa , na sasa mwataka kutumia msiba kama forum ya kisiasa, nashukuruku kwa kunielewa
 
Ni ndoto za mchana kwa CDM kuingia ikulu sio tu 2015 hata 3000, haipo . Na usidhanie kuingia ikulu ni kwa kile kikaratasi chhako unacho tumbukiza kwenye boksi, ni zaidi ya hapo, sasa utatumia njia gani km hiyo itashindwa? CDM ni sawa na kuku wa kuchora, hadonoi, hali, hawiki na hafai kwa nyama wala mayai
Endelea na ndoto za alinacha
 
CCM ni watu wakufuata sheria na wanajua sheria, ila wenzetu ni watu wakutumia nguvu na kuacha sheria, ndio maana wao hawauliwi kwani hawafanyi fujo. Hakuna maandamano bila kibali, sasa kibali mlikuwa nacho? na mliambiwa msiandamane ila mkalazimisha, huko sio kumwaga damu kwa dhamira za uchu wa madaraka?
Sheria ya Epa na Benki za uswisi.
 
Hata polisi wasipoingilia kati CDM iko msibani. Iringa M4C inasimama!.... HUU NI MSIBA MKUBWA SAANA KWA CDM!.
Kwa hiyo umeua ila mwende msibani kujipatia umaarufu ? maandiko matakatifu yanasema alaaniwe yule anae fanya msiba kuwa ni sehemu yakujitafutia umaarufu
 
Nchi imetulia , na mambo yanaenda kama kawaida including kukusanya kodi yako kwa maendeleo ya nchi, tutasimamia sheria na hatoogopwa mtu. Huu ni utawala wa sheria na sio utawala wakimangi wa CDM
Unatumia masaburi kufikiri!
 
Change is the law of life. And those who look only to the past or present are certain to miss the future. John F. Kennedy
 
unavyosema hivyo huyo ally kawawa na police ama cdm? Acha unafiki


Mbona liko wazi, ameuliwa na CDM wenyewe kwa kujua sheria na kutofuata sheria ya maandamano. Na mmefanya hivyo ili mwende msibani mkatafute umaarufu wa siasa (watoto wa mjini wanasema kuuza sura)
 
....[/QUOTE]

Sema na kodi baba yako na mama yako inaishia kuwaneemesha kinariziwani wakati wewe ukijikuna vumbi kwenye masaburi yako kwa miaka hamsini sasa,na kwa akili yako hii unaweza ukalamba kamasi za riziwani kwa kuendekeza njaa!!!Makalio yako we.
 
Wewe ni crazyBrain!

Unataka kutuambia uhuru wa mipaka ni kuzuia maandamano ya CHADEMA lakini maandamano ya CCM ruksa!

Hivi for your tiny and small Brain, unafikiri Watanzania wote ni wapuuzi na wajinga kama wewe? Sahau! Watanzania wanajua wanachokifanya na kwa taarifa yako tu jinsi Policcm wanavyoendelea kuua na kujaribu kuzuia maandamano ya wapinzani hususan CHADEMA ujue tu CCM wanaendelea KUSAFISHA NJIA YA CHADEMA KUINGIA IKULU 2015!

Wewe subiri 2015 utaelewa ninachomaanisha.
Anaitwa MasaburiBrain..
 
Mbona liko wazi, ameuliwa na CDM wenyewe kwa kujua sheria na kutofuata sheria ya maandamano. Na mmefanya hivyo ili mwende msibani mkatafute umaarufu wa siasa (watoto wa mjini wanasema kuuza sura)
Huyu jamaa inabidi achunguzwe anaongea kama wale makaburu wabaya wa Afrika kusini.
 
Wewe subiri 2015 utaelewa ninachomaanisha....[/QUOTE]

Geniusbrain ndio jina langu. Na CDM siku zote ubishi wao wakufuata sheria ndio unaopelekea haya,wakulaumiwa kwa mauji ni CDM na hapo polisi hawana kosa hata chembe. Na huyu ameuliwa na waandamanaji wao wenyewe
.
 
Kwa hiyo umeua ila mwende msibani kujipatia umaarufu ? maandiko matakatifu yanasema alaaniwe yule anae fanya msiba kuwa ni sehemu yakujitafutia umaarufu

maandiko matakatifu yanasemaje juu ya wanafiki na wauaji?
 
Ukifunga mlango mmoja mwingine hufunguka.Sasa timu ya chadema wamepewa
nafasi ya kuhudhuria mazishi ya kijana wetu kule morogoro.Sasa hawa magamba
wataona moto wake.
 
maandiko matakatifu yanasemaje juu ya wanafiki na wauaji?
Alama za mtu mnafiki ni tatu. 1, anapo aminiwa hufanywa hiana, 2. Anapo ahidi hushindwa kutimiza ahadi, 3. Na anapo ongea husema uwongo. Hizi sifa zote CDM wanazo
 
Nchi imetulia , na mambo yanaenda kama kawaida including kukusanya kodi yako kwa maendeleo ya nchi, tutasimamia sheria na hatoogopwa mtu. Huu ni utawala wa sheria na sio utawala wakimangi wa CDM

kikwete ni total failure, amebakiza majungu na vitisho tu kusubiri muda wake wa kufungasha virago kutoka magogoni. na nyie wapambe nuksi sijuwi mtakula wapi kuanzia october 2015.
 
Back
Top Bottom