Wana JF na wana Chadema wote waishio Dodoma ni kwamba siku ya Jumatano tar 11/4/02 kutakuwa na mkutano mkubwa wa chama tajwa utakaofanyikia katika viwanja vya BARAFU - Dodoma kuanzia saa saba mchana.
Atakuwepo na kuhutubia mh. F. Mbowe akiambatana na wabunge wengine mashuhuri wa CHADEMA; Mdee, Msigwa, Wenje, Mnyika, Sugu, Kabwe, Lisu, Silinde nk. Pia tutampokea na kumkaribisha dogo janja a.k.a mh sana J. Nassari!
Karibuni nyote! NAPE & MWIGULU KARIBUNI pia mkamshangilie dogo janja aliyewazidi maujanja Arumeru!
Source:
Mimi mwenyewe nipo Dodoma kwa sasa kwa shughuli hiyo!