Mkurugenzi Geita afunga safari china kujifunza kuendesha wilaya hiyo kwa pesa kwa pesa za halmashauri

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi.

Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchunguza Fedha zilizotolewa na halmashauri hiyo ya mji wa Geita, kumpeleka Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Bi. Zuhura Michuzi kwenda China kwa ziara ya kujifunza namna ya kuendesha halmshauri hiyo ya mji wa Geita.
 
Hako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
1698601519830.png

Sasa huyu ni wa kumuita kabinti?? Huyu anaonekana ana sugu ya viwembe vya kunyolea zivu kila sehemu ya mwili wake.

Huyu ni mshangazi sio kabinti.
 
Hako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
....Kuumbee !!...
 
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi.

Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchunguza Fedha zilizotolewa na halmashauri hiyo ya mji wa Geita, kumpeleka Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Bi. Zuhura Michuzi kwenda China kwa ziara ya kujifunza namna ya kuendesha halmshauri hiyo ya mji wa Geita.
Wilaya ameiacha Geita halafu yeye anakwenda kujifunza China. Huyu DED ni bwege
 
Tanzania Ya Muhari Sasa Hivi Kuchota
Anakwenda China Wakati Walipelekwa Mafunzo Dodoma, Arusha, Pwani
Tena Na Maswali Waliambiwa Ulizeni
 
Back
Top Bottom