Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
Awali Naibu Waziri wa Fedha, Gregory Teu, akiwasalimia wafanyakazi katika mkutano huo jana alisema mbali na kulitumikia taifa kama mkaguzi na mdhibiti wa mali za serikali amebaini kuwa wizara hiyo inakabiliwa na tatizo la matumizi makubwa kuliko mapato jambo linalosababisha kushindwa kufikia malengo.
Huu ni uthibitisho ya kuwa ameshindwa kuthibiti matumizi ya mali ya umma.........................................haiwezekani mapato yawe chini lakini matumizi yawe juu........................