Mkullo: Maisha yangu yako hatarini!

Awali Naibu Waziri wa Fedha, Gregory Teu, akiwasalimia wafanyakazi katika mkutano huo jana alisema mbali na kulitumikia taifa kama mkaguzi na mdhibiti wa mali za serikali amebaini kuwa wizara hiyo inakabiliwa na tatizo la matumizi makubwa kuliko mapato jambo linalosababisha kushindwa kufikia malengo.

Huu ni uthibitisho ya kuwa ameshindwa kuthibiti matumizi ya mali ya umma.........................................haiwezekani mapato yawe chini lakini matumizi yawe juu........................
 
Huyu ni mbadhilifu wa mali ya umma!! Kwa nini wasiwe wanakodisha ndege za serikali ?? Kwa mfano TANAPA ambao wanandege zao..hayo ma G8 hayatoshi, watadai kuwa na ndege kila mmoja....kama tulivyoanza na ndege ya raisi
 
Idiot! Umeona ndege ndio usalama eh? The way you cronies run this government tutakuja kuwatungua huko huko juu. Thieves are never safe whereever u are!
 
Failure to plan is plan to fail, nina uhakika ratiba ya kukutana na mabalozi alikuwa nayo 1 year ago. Kiherehe cha kukodi ndege kimetokea wapi. Yaani inanikera sana kuona waziri hawi mfano wa kuwa na displine. Au ni zile digree za kufoji?

Matawi, i totaly agree wit u! Imagime mabalnzi waondoke dar kwa magari kwenda dom, halafu wewe unayepewa hela ya msaada, unachwa dar, half unawafuata kwa ndege ya kukodi. Jamani!
 
Ametudharau watanzania ina maana wauza vitumbua,maandazi,mitumba hawana maana?bila wao kodi wanayoitafuna angepata wapi?temeke,muhimbili hospital hakuna x ray,ultra sound kisa hakuna sh 5mil za matengenezo eti mpaka bajeti ipite ila za kukodi ndege ya mheshimiwa harakaharaka zinatoka.ufichouficho wa ccm ndio umetufikisha hapa tulipo karamagi anaenda kusaini hotelini ulaya kwa mali ya watanzania bila hata kutuuliza!hawa jamaa wanadharau sana
 
wabongo bana...ndo maana hii mizungu inatugeuza geuza daily,we dont care about our dignity at all yaani mtu akisha tangaza pesa tu mihemko inatupanda ka ma**ya ukute hata hiyo midude aliyoikimbilia huko dom ndo hii mi crook inayotuletea tabu zote bongo
 
Mawaziri wengine upeo wa kufikiri ni mdogo sana....
Yaani utetezi wake badala ya kutuambia sababu za kukodi ndege na je kulikuwapo na udharura gani mpaka akodi ndege na kwa nini alichelewa mpaka huo udharura utokee!!!.....Yeye anatuambia habari za usalama wake...nani ana shida ya kukua we mzee mkulima wa kilosa uliyebakiza siku chache ufe mwenyewe?? Tuache kuhangaika na kina Rostam tuje kukuua mtu ambaye tayari umekufa kifikra!!

Mi nadhani kwenye katiba mpya tusisahau uwaziri uwe ni kazi kama kazi nyingine na zitangazwe ili kila mwenye uwezo aombe kulingana na CV yake Kenya tayari wameshafanikiwa kwa hili.
Wazee kama kina mkulo waliokaa NSSF miaka kibao na kustaafu just ubunge unawatosha maana uwezo wao wa kufikiri ushakua dormant siku nyingi.
 
Usiri huo na utawala huo ndio uliotuletea Richmond, Dowans, n.k....

Hivi jamanii? Mtu anafanya madudu then anataka iendee kuwa siri ili tuendelee kutawalika kweli? Kuna vitu vya siri kama mambo ya usalama wa Taifa lakn sio kama upuuzi huo wa Mkulo.
 
Inakera, inaudhi, inachefua. Samday tutawatimua nchini kama sio kuwaweka ndani ninyi ccm bloody fools.
 
Tuseme muda wa Waziri ni muhimu sana, hawezi kukaa barabarani masaa 7, na kwamba dili la kukodi ndege kwa $5000 ni very reasonable. Sawa, Shangingi lilienda la nini?

Na pia, Mheshimiwa Mkullo, kama ulichofanya ni sawa, tena kwa manufaa yetu, kwa nini ulitaka kibakie siri ya Serikali?

Au kama ilitakiwa kuwa ni siri ya Serikali, kwa nini umeanika details zake zote ambazo hata TZ Daima yenyewe haikuzi publish?
 
The man has the audacity to justify anavyofuja pesa za uma

kwa nini akasirike hii waste of public funds kuwekwa kwenye public domain?


kwani kule dodoma asingepata gari la kumzungusha? kulikuwa na umuhim gani wa yeye kufuatwa ga GARI tena sio moja from DAR...hapo kulikuwa na per diem za dereva wake, mafuta, misosi pale segera na malazi...

This comes from a man with a fake degree ambaye hajawahi kusimama kukanusha kuhusu hili,

This also come from a man ambaye hajawahi kuweka wazi kuhusu utata wa uraia wake, No wonder anatumia ARROGANT na INSENSITIVE language dhidi ya WAUZA MAANDAZI na VITUMBUA....Kariakoo ambako tunaishi sie WASWAHILI


Kwani aliona taabu gani kutumia analogy nyingine badala ya maneno ya wafunga vitumbua na maandani na kariakoo? why not kwao huko KILOSA if not MALAWI?


Of course this is the man in charge of our economy and cares less about watu wa chini

This country has gone to the dogs

Hata inashangaza zaidi kuona kua hajui kua jukumu la kufundisha usiri ofisini kwake lipo chini yake. Kashindwa kufundisha usiri ofisini yeye mwenyewe badala yake anatulaumu sisi wa kariakoo sokoni. Wakubwa wake walimpa cheo ili awafichie siri zao ama la sivyo wanamfutia uraia ama wanamuumbua na vyeti vyake - hii ndio CCM's office culture.
 
Eti anasema mara nane tu!!
$5000*8
za kukodi ndege zipo,za walimu,wastaafu,wagonjwa na wauguzi hamna!!
SIRI kwenye fedha za umma? this is nonsense say!
Treasury staffs keep up kutuhabarisha madudu hayo!!
 
Leo nilikua nasikiliza Redio free africa mtoto aliyeshidwa kumaliza shule sababu wazazi wamekosa 20 thousands ya karo. Sasa waziri anakodi ndege kwa 7,000,000. Tanzania kweli ni maskini? sina jibu
 
Huyu mzee anaishi katika dunia ipi? Yaani anadhani hizi ni zama usiri?
Anasahau kua tupo kwenye zama za uwazi na ukweli??!?!?

He must be losing his sanity.
 
Mkullo amka kutoka usingizini, wewe unajiona uko hatarini kwa sababu tu watu wamepiga picha wakati unapanda ndege kwenda Dodoma na wakati huo huo unamwambia dereva akufuate na gari la serikali. Hujakanusha kama sio kweli umesema hiyo ni kweli lakini ulifanya hivyo na ulikuwa unawahi mkutano kitu kilichofanya serikali US $ 5,000.

Awali ya yote, Hii si sababu ya msingi kujustify matumizi hayo kwani kuna naibu waziri kwa nini yeye asishughulike kwenye moja ya kazi hizo na wewe ufanye nyingine????? Hii yote ni kujilimbikizia madaraka hakuna delegation of powers.

Lakini kwangu mimi naona uko isolated na realities of life, wananchi wa Tanzania kwa ujumla wao maisha yao yako hatarini kuliko wewe unapokuja na udhanifu wako kuwa upo hatarini kwa sababu tu ya kufuja fedha. Fikiria ni watanzania wangapi ambao hawajui kama watapata mlo wao wa siku hiyo , mheshimiwa waziri ni wengi sana.

Ni Watanzania wangapi ambao wanashindwa kununua dawa ya malaria kwa ajili ya kutibu watoto wao, ni wanagapi amabao wanashindwa kulipia gharama za matibabu? Nadhani ni wengi sana,

Ni akina mama wanagapi ambao vichanga vyao vinafariki kabla ya kufika miezi sita, ni maelfu mheshimiwa waziri, ni akina mama wangapi wanalala chini pindi wapojifungua, ni watoto wanagapi wanakosa madawati na wanakaa kwenye vumbi toka Januari hadi Disemba, toka darasa la kwanza hadi la saba ni wengi wakimeza vumbi kila siku wapokuwa darasani.

Waziri, kati ya makundi hao na wewe ni nani maisha yao yako hatarini zaidi???????

Tafakari, you owe an apology to Tanzanians, labda kama hukusema hayo maneno.
 
huyu jamaa kweli naye haeleweki na visingizio pamoja na utetezi alokuja nao this time, akiona haujafanya kazi hutachelea kusikia akisema kuwa ni kwa sababu ni muislamu (samahani kuingiza topic hii wana janvi). Arudishe hela!!!
 
Failure to plan is plan to fail, nina uhakika ratiba ya kukutana na mabalozi alikuwa nayo 1 year ago. Kiherehe cha kukodi ndege kimetokea wapi. Yaani inanikera sana kuona waziri hawi mfano wa kuwa na displine. Au ni zile digree za kufoji?

We are paying for his lack of planning, shame on you mkulllo, aende kwao malawi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom