Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

TANZANIA imejaliwa kwa beautifull woman,lakini tukienda na mambo ya percentage,west lake haina mpinzani-wahaya bana we acha tu
 
Taabu Watz wengi hatujasari ndani ya nchi yaani mkaona! Kwa mfano ukifika Bukoba ni lazima tu ukubali kuna madem bomba hata kama mtawaita akina Koku!

Mie mikoa yote nimeenda ila bado sijaona wadada wanofikia BkB hata kwa 50%!!!!
 
Wewe mchaga nini? ha ha

Ila ni kweli sanasana sura na maumbo ya miamvuli!..

haha, nimekumbuka tu kuwa mamiss wengi utasikia wachaga.....na mara viongozi wengi wakubwa wameoa kule..sasa sijui na wao hawajui uzuri au ni vipi?

Kwani Wachaga akina dada wapo warembo? Au ni mahiri tu wa kutafuta pesa na mapenzi ni sekondari agenda?

Mzalendo, kama nilivomwambia Belinda apo juu....

Wachagga hawajitumi kwenye mchezo wa wakubwa...

ohoo....
 
Hapo ndio nachoka kabisa na JF!!!

Huyu mtu sio mzinifu lakini hao wote anavyoongea ni kama keshamaliza madiirii ya ngono... anyway kila kitu kina scale yake, labda bwana chimo scale yako ya uzinifu ni kubwa sana

LOL yeye keshasema 'chimo'.....habari ndo hiyo!
 
Kaizer!
Ukiacha muonekano wa nje,wanawake wa kichaga ni wajanja sana na wanajua kuhangaikia maisha. Wanaweza kuwa hawajui mamboz lakini akili na juhudi za kujituma kimaisha wanazo.
Hivyo ndo nionavyo mie labda kwanini wakubwa wengi wanaoa huko.
 
Belinda, nasikia siku hizi 'wameimprove' (binafsi sijawahi 'kutembea' na mchaga) so ukijumlisha hilo na hizo sifa nyingine utakuta overall wapo juu ya wengine au?
 
Belinda, nasikia siku hizi 'wameimprove' (binafsi sijawahi 'kutembea' na mchaga) so ukijumlisha hilo na hizo sifa nyingine utakuta overall wapo juu ya wengine au?

Inawezekana kabisa maana wanasakamwa sana kuwa shughuli hawaiwezi ila naamini kwa hii michanganyiko ya makabila na kuishi mazingira tofauti lazima kuna wanaoweza vizuri tu.

Labda kama sijui ufundi upi zaidi wanaume wanaoutaka ila si mnafundishana na mkijifunza mara kwa mara mnakuwa wazoefu! huh!

Pia kwa sifa niliyokwambia ambayo ni ya ndani kwahiyo ukichanganya na nyingine wanakuwa juu sema kila mwanaume ana 'taste and preference' zake unapotaka kutoka/kuoa mwanamke.
Nina marafiki wengi wachaga, sema tatizo wewe umeshasema uko booked:) utani kaizer
 
Hapana! lazima awe na msimamo au siyo?! Asije kuchanganyikiwa bureee

Jamaa hawezi changanyikiwa si unaona jina lake tu...Nshomile, wasi wasi dada wa kichaga asije pagawa maana jamaa lazima atapractise Katerelo!! lol
 
Jamaa hawezi changanyikiwa si unaona jina lake tu...Nshomile, wasi wasi dada wa kichaga asije pagawa maana jamaa lazima atapractise Katerelo!! lol

kumbe kaizer ni muhaya, sikujua asili ya hili jina!..nilijua jina la kidhungu. Namsikilizia hajanijibu nilitaka aone wachaga wakoje zaidi ya hapo:)
 
Ameweka uzungu kule uhayani wanaitwa Kaiza amebadili kidogo Kaizer...,wengine Ngaiza uzungu wanajiiter Ngaizer
 
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.
...Hakuna mkoa wa Bukoba Tanzania hii mkuu...wasichana wazuri ni mtazamo wako mkuu lakini huwezi ku-generalize kuwa mkoa fulani unawasichana wazuri...............
 
Ameweka uzungu kule uhayani wanaitwa Kaiza amebadili kidogo Kaizer...,wengine Ngaiza uzungu wanajiiter Ngaizer

Du! mambo ya swanglish hayo!Thanx kwa kunielewesha..
Naona umesifia sana wadada wa mkoa wenu sukuma land:) safi sana,ni ma-giant kweli kweli...
 
Inawezekana kabisa maana wanasakamwa sana kuwa shughuli hawaiwezi ila naamini kwa hii michanganyiko ya makabila na kuishi mazingira tofauti lazima kuna wanaoweza vizuri tu.

Labda kama sijui ufundi upi zaidi wanaume wanaoutaka ila si mnafundishana na mkijifunza mara kwa mara mnakuwa wazoefu! huh!

Pia kwa sifa niliyokwambia ambayo ni ya ndani kwahiyo ukichanganya na nyingine wanakuwa juu sema kila mwanaume ana 'taste and preference' zake unapotaka kutoka/kuoa mwanamke.
Nina marafiki wengi wachaga, sema tatizo wewe umeshasema uko booked:) utani kaizer

Hilo sio tatizo Belinda kuwa booked ni poa kabisa am happy that way, asante lakini...

Du not worry yuko booked lakini hes always available....mlengeshe tu Kaizer ajisuuze!

Ohoo Masa kwanza naona unafukuzia fukuzia hapa sijui umefikia wapi au dogo NN anakuzidi maarifa? LOL

Jamaa hawezi changanyikiwa si unaona jina lake tu...Nshomile, wasi wasi dada wa kichaga asije pagawa maana jamaa lazima atapractise Katerelo!! lol

heheh ungejua huko hata kufika sijawahi kufika

Belinda hebu anza na Masanilo aonyeshe kalufundi kake hapo asije akawa anabwabwaja hapa tu kumbe hakuna kitu heheheheheh
 
Du! mambo ya swanglish hayo!Thanx kwa kunielewesha..
Naona umesifia sana wadada wa mkoa wenu sukuma land:) safi sana,ni ma-giant kweli kweli...

Huo ugiant wao usiku unaweza kufa kwa kukosa pumzi si unajua tena mambo yetu yaleeeee....
 
kumbe kaizer ni muhaya, sikujua asili ya hili jina!..nilijua jina la kidhungu. Namsikilizia hajanijibu nilitaka aone wachaga wakoje zaidi ya hapo:)

mmm...Belinda utanisababisha nichelewe ndege...see you next tyme..
 
Hahahahahah you guyz spare my ribs.......kwani mambo yaleeee na wewe ni mwanachama? kwi kwi kwi

Ukitaka kujua nani sio na nani mwanachama uliza wanyoshe kidole kama wasiponyoosha ile JK style...yale hakuna mtu anayeweza kubisha bana.......
 
Kaizer
Its good kuwa happy na kuridhika na ulichonacho vinginevyo tamaa zitatumaliza siyo kwenye mapenzi tu,kimaisha kwa ujumla.
Sasa unasema Masa anionyeshe ufundi,nimecheka sana!...mmh
Nimeanza j3 vibaya ila hii thread imenichekesha kweli leo mpaka siku inaisha kivingine...
 
Back
Top Bottom