Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

We Mbu wahangaza! nimestuka acha kabisa. nafikiri kila msichana ni mzuri at her level also depends unataka nini.

Hivi jamani siku hizi kuna watu hawajui kuoga au ni mnatusiliba?
 
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.

Mwiba,

Tanzania hakuna mkoa unaoitwa Bukoba wala Kondoa Irangi.
 
Wanawake wanatofautiana kwa muonekano wa miili yao inategemea wewe mwanaume nini hasa cha nje kimuonekano kinakuvutia. Kama ni sura,umbo,nywele,miguu,rangi ya mwili na vinginevyo wanaume wanavijua zaidi..
Kila mkoa wa Tz una wanawake wazuri chaguo lako ndo litakufanya uchague mkoa gani!
 
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.

Apo correct kabisa Mwiba...ila usichanganye mkoa na eneo,, Bukoba ipo mkoa wa Kagera (zamani Ziwa Mangaribi) na Kondoa Irangi ipo mkoa wa Dodoma. Kondoa Irangi kuna michoro ya watu wa kale ni eneo la kihistoria.

Hujatembea bara wewe?
 
Mmesahau hapo Kigoma kuna watoto wana asili ya Kihabeshi mixer na Wanyarwanda dah balaa kama vile wametengenezwa duh......
 
Mmesahau hapo Kigoma kuna watoto wana asili ya Kihabeshi mixer na Wanyarwanda dah balaa kama vile wametengenezwa duh......

Mie nilijua kule ntwara, lindi na tunduru ndio kuna watoto wakali na vipilipili vyao... duh
 
Mie nilijua kule ntwara, lindi na tunduru ndio kuna watoto wakali na vipilipili vyao... duh

Mkuu vp kule ukweni machame,marangu,kibosho ........hahaha mamiss wote wanatoka kule lakini hawa juu unamwona kajazia safiiii lakini chini sasa mguu ni chelewa.
 
Mkuu vp kule ukweni machame,marangu,kibosho ........hahaha mamiss wote wanatoka kule lakini hawa juu unamwona kajazia safiiii lakini chini sasa mguu ni chelewa.

Mkuu acha hizo, inamaana dada zetu wa kichaga wanatembelea mikono?!!
 
Ni ukweli kuna msemo unaosema uzuri upo machoni kwa mtu. Lakini kuna uzuri mwingine upo machoni kwa kila mtu, yaani ni mzuri.
Jamani hata MBEYA kule kwa wanakyusa, wasafwa n.k kuna wazuri
 
Hapana niyinyi mmefika Bukoba mkawaona wadada????

.. yaani mguu na mkono vimelingana kwa unene? Halafu mrefu..yaani kama wewe mwanaume haujui hata kutamani ukienda Bkb nakuambia utatamani tu! Na siku hizi naskia ukimwi kule naskia umepungua!

Halafu ngozi laini na meno meupe?
 
Mimi Sio mzinifu ila napenda Kusema Wasichana wa kichaga Wengi ni warembo tena saana Saaaaana kabisa Hata wapare...Ila SASA TATIZO ni Hakuna Raha Kabisa Hapo mnapokuwa Katika Kukamilisha mambo.Kwi kwi Kwi Kwi....Haalafu Huko Mkoani kagera karibia Na Kuvuka nchi Jirani Kwa Mheshimiwa Kagame kuna Wahagaza Kule unaweza usipate Chaguo lako halisi maana Binti Miaka 14-16 Usiseme kaenda Hewani kisha Miguu Ni general tyre Upepo 100-100 kakatika Kisawa sawa Kuanzia katika ya nyonga na kushuka chini Naweza kumalizia tanga Ndio Kwenye Katika masuala yote ya Ndani faragha Huombi Kila kitu Mzuka ama huko Viswani Kuna mchanganyiko wa aina ya kibrazili Hivi, Tabora ni Kila kitu Funika kombe mwaharamu apite nawazimia saana kwa uwezo wao wa shughuli watoto Wa kinyamwezi Hakika Dodoma na Manyara hata Singida Wamejaaliwa urembo Ule wa asili natural beauty ila sasa wabadilike yale machale na ile tabia ya kukeketa Mwisho nasema wachaga wazuri ila hawajui Game Wahangaza Wahaya wanaukamilifu katika Uzuri na Game ila tabia Zinavuka mipaka kwaheri
 
Back
Top Bottom