Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

nenda manyara/arusha. wairaqw bwana asikwambie mtu. wao na variations zao za akina wafyomi, wabarbaig etc mwisho. na hapa tunazungumzia uzuri wa asili wa mwanamke. hatuzungumzii tabia! ukitaka tabia anzisha thread ya tabia
Watu hapa Tz wengi hawawajui Wairaqw, wapo wachache, ila ukimpata demu wa kiiraqw utashangaa, like Ethiopian, beautiful damn....!!!!! full package, hips, tabasamu uncomparable, makalio, urefu, softness, nywele uwiiiiiiiii, pua ndefu, walking yao sasa just mwaaaaahh!!! macho arab like, sifa zao natural beauty zinazidi maelezo, so sexxxxxxxxxyyyyyyyyyyyyyyyy, nitavunja keyboard, Gwalo ayooooooo
 
Ni wazuri wa umbo lakini kutoka shingoni kwenda juu wanachekesha sana utadhani midori na tatizo kubwa wana maji sana.



Maji gani mdau,!? .......... isije ikawa ndo ule ugonjwa wangu,.........
maana siku ya gulio ........ huwa naitendea haki
 
Wewe unaesema Kilimanjaro wamekomaa, eti wamepigwa paso ,eti miguu kama chelewa ni zamani ndugu watafute wachagga wa sasa uwaonee utashangaa
 
Uzuri uko machoni mwa mtu husika kwani kilichokizuri kwako , kitakuwa kibaya kwa mwingine na kilichokibaya kwa mwingine kikawa kizuri kwako
 
Rafiki yangu amenidokeza kuwa katika Tanzania mkoa ambao wasichana wanakuwa wanavutia ni Bukoba eti alisema karibuni kila utakaemuona ana figure 8 na huchoki kumtazama ,kwa kweli alikuwa na fikra tofauti na za kwangu mimi nilifikiria ni Kondoa Irangi ,ambapo kuna wasichana waliochanganya asili na wajerumani.
Mi nafikiri kuna watu wanaotwa Waarusha ni balaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom