Mkoa upi wa Tanzania wenye wasichana wazuri?

Chimo yeye katembelea mikoa yote. Jamani naomba kuuliza swali. Hivi wanaume wanapenda nini sana toka kwa wanawake? hasa unapochagua mchumba? Nafikiri tunatofautina sana kila kitu.

Wanawake tuna tabia ya kuangalia hela, Uhandsome, kitu kinaitwa tabia hatuna muda nacho kwa sababu tunakwua an target zetu.

Sasa katika hali yakawaida tunapenda nini kwa wenza wetu. Unaposema huyu kwenye mavituuz hawezi una maana gani? Mimi kabla sijafanya tendo hilo huwa naulilza mtu anapenda vitu gani, ili kama sijui nipate shule kidogo then nifanye vile unavyopenda. Si wote tunajua haya mambo, tunatofautina. Na kutokuwa wawazi ukataka kufikiri najua ndiyo maana hata ladha haipo. Tuelimishane na kufundishana kabla ya game ili turidhike, usibwete eti najua.
 
Mimi Sio mzinifu ila napenda Kusema Wasichana wa kichaga Wengi ni warembo tena saana Saaaaana kabisa Hata wapare...Ila SASA TATIZO ni Hakuna Raha Kabisa Hapo mnapokuwa Katika Kukamilisha mambo.Kwi kwi Kwi Kwi....Haalafu Huko Mkoani kagera karibia Na Kuvuka nchi Jirani Kwa Mheshimiwa Kagame kuna Wahagaza Kule unaweza usipate Chaguo lako halisi maana Binti Miaka 14-16 Usiseme kaenda Hewani kisha Miguu Ni general tyre Upepo 100-100 kakatika Kisawa sawa Kuanzia katika ya nyonga na kushuka chini Naweza kumalizia tanga Ndio Kwenye Katika masuala yote ya Ndani faragha Huombi Kila kitu Mzuka ama huko Viswani Kuna mchanganyiko wa aina ya kibrazili Hivi, Tabora ni Kila kitu Funika kombe mwaharamu apite nawazimia saana kwa uwezo wao wa shughuli watoto Wa kinyamwezi Hakika Dodoma na Manyara hata Singida Wamejaaliwa urembo Ule wa asili natural beauty ila sasa wabadilike yale machale na ile tabia ya kukeketa Mwisho nasema wachaga wazuri ila hawajui Game Wahangaza Wahaya wanaukamilifu katika Uzuri na Game ila tabia Zinavuka mipaka kwaheri

Hapo ndio nachoka kabisa na JF!!!

Huyu mtu sio mzinifu lakini hao wote anavyoongea ni kama keshamaliza madiirii ya ngono... anyway kila kitu kina scale yake, labda bwana chimo scale yako ya uzinifu ni kubwa sana
 
Weupe wa Bukoba wengi wao ni mkorogo huwezi linganisha na Moshi ambako ni original, kwa wale wapenda rangi nendeni singida na moshi!
 
Kweli BK nakubali wapo ma black beauty na wazuri wa maumbo. But wana too many female weaknesses. I could mention some but naogopa ugonvi na wahaya japo ni watani zangu wa jadi.
 
Jamani naomba kuuliza swali. Hivi wanaume wanapenda nini sana toka kwa wanawake? hasa unapochagua mchumba? Nafikiri tunatofautina sana kila kitu.

Hapo asilimia kubwa watu wanapenda figure tu hakuna kingine.
Japo wengine wanapenda MEWATA sana.
Na wengine wanapenda sana guu.
Na wengine wanazimia kabisa wakiona mrembo twiga.
Ni mambo mengi zaidi zaidi ni figure tu hizo namba 8 zinapendwa na wanaume wote.
 
Kuna muda nilipokuwa chuo nilikuwa na gf mchagga aliekulia mtwara yaani acheni utani, napendekeza wasichana wakichagga wakifikisha umri wa miaka 14 wapelekwe kusini mafunzo miezi kadhaa.
 
Sisi wasukuma tunapenda wanawake weupe, warefu na waliojazia ili wakienda kuchunga waweze ona ng'ombe hata kwa mbali na hata kwenye kutwanga mahindi waliona nguvu ni sawia...wanawake wafupi No.....na wembemba no way!
 
....The Home of Great Thinkers... au ni kazi na dawa!!:rolleyes:
 
jamani siyo wa bk wote wanatumia mkorogo wengine wana rangi zao tu nzuri za kun'ga na wanapendeza, kuhusu tabia nadhani inatoka na na mtu mwenyewe sasa hv kila mkoa watu hawajatulia, nadhani kila mtu kwa mwanamke ana chaguao lake siyo lazima upende kila kitu ,kuna wanawake wana hizo no.8 lakini mwanaume anamuona wa kawaida sana wala hamshtui ndo mana mara nyingi waichan wazuri sana hawaolewi
 
Kweli BK nakubali wapo ma black beauty na wazuri wa maumbo. But wana too many female weaknesses. I could mention some but naogopa ugonvi na wahaya japo ni watani zangu wa jadi.

- Mkuu

what are female weaknesses?
 
Mimi Sio mzinifu ila napenda Kusema Wasichana wa kichaga Wengi ni warembo tena saana Saaaaana kabisa Hata wapare...Ila SASA TATIZO ni Hakuna Raha Kabisa Hapo mnapokuwa Katika Kukamilisha mambo.Kwi kwi Kwi Kwi....Haalafu Huko Mkoani kagera karibia Na Kuvuka nchi Jirani Kwa Mheshimiwa Kagame kuna Wahagaza Kule unaweza usipate Chaguo lako halisi maana Binti Miaka 14-16 Usiseme kaenda Hewani kisha Miguu Ni general tyre Upepo 100-100 kakatika Kisawa sawa Kuanzia katika ya nyonga na kushuka chini Naweza kumalizia tanga Ndio Kwenye Katika masuala yote ya Ndani faragha Huombi Kila kitu Mzuka ama huko Viswani Kuna mchanganyiko wa aina ya kibrazili Hivi, Tabora ni Kila kitu Funika kombe mwaharamu apite nawazimia saana kwa uwezo wao wa shughuli watoto Wa kinyamwezi Hakika Dodoma na Manyara hata Singida Wamejaaliwa urembo Ule wa asili natural beauty ila sasa wabadilike yale machale na ile tabia ya kukeketa Mwisho nasema wachaga wazuri ila hawajui Game Wahangaza Wahaya wanaukamilifu katika Uzuri na Game ila tabia Zinavuka mipaka kwaheri

wewe yaonekana hukupumua hata kidogo when u were writing this duh!!!! hakuna hata koma au fullstop!
 
mbona mnawasakam hao wa BK kila m2 ana udhaifu wake, kwani udhaifu unaambukizwa au unaridhiwa? kwamba kila m2 ataupata
 
"Mzee kuna mkoa unaitwa Manyara...kuleeee ilipo Karatu...asikwambie mtu huko kuna totoz balaa.....zimekamilika kila idara"

KARATU IKO MKOA WA ARUSHA LAKINI JIRANI NA MANYARA
 
Mbona mmesahau kumpa sifa na utukufu huyo aliyewaumba?? Ikumbukwe kwamba MTU NI YULE WA NDANI - nje hayo ni MABOX tu ya kumhifadhi mtu - hivyo wote mmekuwa mnasifia BOXES - ndio ziko za aina nyingi - ila mtu akiondoka ALL THOSE BOXES GET ROTTEN AND TURN INTO UDONGO - The beuty of a person - MAN/WOMAN is INSIDE
otherwise yote ni UBATILI NA KUFURAHISHA MACHO AND NEVER PERMANENT -
 
Preacher..

Hata hilo boksi la nje pia kazi ya mungu!!! na tunachofanya hapa ni kusifia kazi ya mungu tena we aremore specific maana tunadiskasi per regions na sio blanket discussion... ingekua vp tunadiskasi, weusi, au weupe tu au wafupi, au ma-polygon

waache watu waisifie kazi ya mungu wapendavyo maana sifa zote za uzuri ametupa mungu na SIO mwingine
 
Wahangaza kwa kweli ni wazuri sana, tuache utani. Ila kwa complexion tu, watoto wa Singida, halafu Wapare, kisha Tanga na wachaga wana rangi bomba sana!

Kuhusu wachaga kutojua mambo ya kitandani hayo mambo ya kukariri tu na yameshapitwa na wakati. Anybody can be good in bed, its just practising!
 
Back
Top Bottom