ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,310
- 4,040
Lindi na mtwara
Mkuu umeshawahi kuishi mikoa hiyo?Asikudanganye mtu maisha yapo juu sana huko,nina ndugu yangu anaishi huko hali ni ngumu sana vyakula vinauzwa bei aghali sana kuliko hata Dar es salaam,malazi usiguse Mtwara mjini kwasasa tangu vyuo vimejengwa na makampuni ya gesi kufunguliwa!!Senetor Nakushauri Morogoro,Mwanza,Mbeya na Rukwa ndiyo maisha yapo cheap so chagua katina ya hiyo mikoa!