Naskia Hungumalwa bado mnajua nyerere ndo mkuu wa nchi. Nina shangazi yangu huko ame re-seat mtihani wa la saba mara 16 mpaka amepita kwa huruma ya baraza.
Nenda ukaishi katika mikoa inayoyotwa Big Four, Morogoro, Iringa, Mbeya na Ruvuma watu wanalima sana na vitu bei cheee hasa ukiwa wilayani.
Naunga mkono hoja, sio lazima akaishi kapripoint au Isamilo......hata Mecco tu panatosha kabisa!!
uzuri wa Mwanza:
1. Bei za chakula na makazi ni fair/chini.
2. Usalama upo.
3. Ukiwa mlokole makanisa kibao, yamechangamka.
4. Ukiwa mtu wa burudani (za ndani na nje) viwanja kibao.
5. Miundombinu ya uhakika. Roads, airport, port.
Wadau wa MMU,naomba kuuliza,ivi hapa tanzania ni mkoa gani mzuri ambao atleast life liko cheap,ambapo mtu anae anza maisha let say na salary ya kuanzia 400k-600k anaweza kusurvive?
nenda chuo cha maisha,namaanisha TABORA mkuu,pale vitu bei cheap lakini upatikanaji wa pesa ndio issue.