Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,558
- 494
pole rafiki yangu na ndugu yangu
Kwanza nikuulize huyo mkeo ana umri gani? halafu kama wewe huna wasiwasi na lolote hebu tulia angalia kiwanja inaweza kuwa yeye amesikia kuwa wewe unaruka viwanja sasa na yeye anataka kujuwa pia kama kweli,
Mimi niliwahi kwenda mpaka miezi miwili kwani mwezi wa mwanzo alikataa nami nikadindisha nikasema siombi ka kukosa tukose sote baada ya miezi miwili nilishasahau yeye ndio aliomba mchezo nami nilikuwa mgumu kutowa kumbe yeye alikuwa anahesabu siku zote zile
Kaka tulia wala usiwe na wasiwasi ikiwa mkeo ni umri wa 45 na kwendea juu basi ni maumbile yake yanabadilika usiwe na hasira