Mke wa kaka (shemeji) ananitaka kimapenzi

Mke wa kaka yangu (jina kapuni) ananitaka nimtimizie haja zake kimapenzi. Maana anadai bro ameendekeza ulevi sana hata hana hamu nae.

Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki kutoka nje ya ukoo ili tusipoteze kizazi. Hata ikitokea broo amekufa mimi ndio nitamrithi shemeji kama mumewe.

Nakuahidi shemeji nitakupa mambo adimu na style kibao za maana ikiwemo BRN.

HAHAAAAA ETI BRN jamani
 
mkuu we umetoka kwenye send off juzi tu..leo ushaaza kutamani mke wa braza wako?????
 
Mke wa kaka yangu (jina kapuni) ananitaka nimtimizie haja zake kimapenzi. Maana anadai bro ameendekeza ulevi sana hata hana hamu nae.

Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki kutoka nje ya ukoo ili tusipoteze kizazi. Hata ikitokea broo amekufa mimi ndio nitamrithi shemeji kama mumewe.

Nakuahidi shemeji nitakupa mambo adimu na style kibao za maana ikiwemo BRN.

Naomba namba yke nimpe ushauri wa namna ya kuheshimu familia
 
Naona dogo unapenda vya wenzako, kakaako atafute we uje ule tu. Nahisi marinda kufumuliwa
 
daah dogo anapenda vya kunyonga lakini namlaumu bro wake kwa kukaa nae nyumba moja aisee huyo dogo alipaswa kukaa huko huko NAMTUMBO dar asipajue kabisa, kama ni hela atumiwe kwa M-PESA
 
Mke wa kaka yangu (jina kapuni) ananitaka nimtimizie haja zake kimapenzi. Maana anadai bro ameendekeza ulevi sana hata hana hamu nae.

Kwa kweli nimeona shemeji ana hoja ya msingi maana hataki kutoka nje ya ukoo ili tusipoteze kizazi. Hata ikitokea broo amekufa mimi ndio nitamrithi shemeji kama mumewe.

Nakuahidi shemeji nitakupa mambo adimu na style kibao za maana ikiwemo BRN.

Unaishi na kaka yako yaani anakuhifadhi kwake au unaishi mbali naye? Vyovyote vile mpango wenu ni kinyume na maadili na ustaarabu. Halafu umeanza kumuwazia kaka yako afe mapema. Ukisikia shetani ndio huyo.
 
Anataka kutoa machungu ya kuambukizwa na huyo mzee wa malori (Kaka yako). Lakini sio mbaya, hakikisha unamkandamiza kwelikweli ili uwe umeupata kiuhalali.
 
Back
Top Bottom