Labda wakati dada alipokuwa mjauzito,huyo bwana aliyefanana na mtoto ,alimpita mgongoni si ndio wazee wetu walisema hivyo ? Kwa hio ukimwona dada ana mimba usipite mgongoni kwake mtoto atafanana na wewe
Hiyo kali.

Mzabzab, hebu nielimishe tafadhali. Tigo huwa ni adhabu ama huombwa kwa mapenzi? Nijue mapema usikute mwenza amehamia digitali.