Mke kazaa 1st Born na Bwana Mwingine: Utafanyaje?

Pole zake kaka huyo..namshauri kupima DNA, ili kuprove kama mtoto ni wake au si wake, isije ikawa anahisi tu kwa sababu may be anamfahamu huyo exb wa mkewe..then baada ya hapo uamuzi anao mwenyewe..moyo wake ndo utaamua maana kama love itaisha maisha machungu hapo...Mungu amtangulie ampe kusamehe na kusahau..The baby is innocent!
 
...... Masikini kaka pole sana namlaumu sana mkeo kwani ni wazi alijua baba wa mtoto na akajidanganya kuwa hutafahamu. Kwa kuwa tayarui imeshaanza kukuathiri ni wazi mapenzi hayatarudi tena kwa mkeo kama mwanzo na mbaya zaidi hata ukisema uendelee kuzaa wengine mapenzi yako kwa mtoto wa kwanza yataathirika. Matokeo yake ni kumwadhibu mtoto huyo ambaye hana hatia.
Ni vema ukapime ujue na mchukue hatua ikiwa bado unamtaka mkeo basi mkubaliane nini cha kufanya kwa mtoto ila chonde chonde ukiamua kumretain mtoto usije kumbagua pleeeease maana maumivu yake ni makali kupita maelezo.
 
Hizi tabia kwa wanawake zipo sana tu,mie ningependa uchukulie kawaida tu,cha msingi mtoto umlee kwa wema na siku zote ajue kuwa wewe ni baba yake,usije ukampa nafasi mtoto ya kutambua kuwa we si baba yake mzazi,na ikitokea mkeo ndie kasababisha mtoto akajua ukweli basi lawama zako na za mtoto zitamuangukia.
 
natamani aliyepost hii thread angekuwepo humu atupe feedback sema leo ni zile zilipendwa!
 
Nimegoma kutoa ushauri kwasababu ww na rafiki yako mnaelekea kuufahamu ukweli ila mmeamua kuahirisha tatizo sitegemei siku nyingine ulete uzi hapa ukisema yule jamaa yangu mwenye mtoto wa kusingiziwa kamdedisha mkewe/mtoto!
 
wewe BADILI TABIA hukuona huu uzi ni wa 2009?? either wameshasolve tatizo lao au wameachana. your advice is too little too late miss.
 
Last edited by a moderator:
Nina jirani jamaa yangu ameoa mwaka jana Novemba! Ilikuwa hivi: binti alipata mimba: basi jamaa kachagizwa fasta fasta wafunge arusi. Na kweli ilikuwa arusi babu kubwa! Wote wanafanya kazi: binti mwal. primary na jamaa anafanyia Benki!

Sasa mtoto amezaliwa: mtoto mzuri na tena mtundu sana wa kiume ana miezi mitano- yule mtoto copy right anafanana na ex boyfriend wa huyu dada! Inaonekana binti alikuwa na hawa jamaa wote wakati mmoja: ndo akaamua kumsingizia huyu wa benki!

Huyu jamaa yangu nae ameshtuka: juzi alishare nami kama rafiki akaniomba ushauri! Kumrudisha kwao: ni aibu kubwa sasa kwake na familia zao wote! Pia jamaa anaogopa kumuuliza mke wake kama huyu mtoto ni wake! Ila anasema mapenzi yake kwa mkewe yameanza kupungua kila akimtazama mtoto!

Je afanyeje??

yani kuna vitu ambavyo ni vigumu kushauri
yani hii thread imenifanya niwe mnyonge nimesikitika kama huyo jamaa ninamjua au ni kaka yangu loo
ngoja tuwasubiri watoe ushauri yaani inaumaje
mpaka ubongo umestaki kufikiria ushauri
 
Ukweli ni kuwa jamaa alichukuwa fuso akabeba kila kitu hadi vitanda vyote na nguo na magodoro wakati mke yuko job! ..na kusepa zake kazi anafanyia mkoa mwingine! Binti na mtoto amawacha wala mawasiliano hamna! Ameletewa binti toka kijijini kwake na wazazi ameoa binti ndoa kimila!

Mwalimu (mwanamnke) anaendelea na kazi yake huko Mbeya na kulea mtoto wake!

Ndoa imesambaratika!
 
sasa jee... Ulivyotaka kumshauri jamaa alee mtoto si wake... WEWE VIIPI BWANA!!!!... mbona maisha yameendelea...
 
El Toro DNA ni kipimo cha uhakiki mkubwa sana,
jamaa yangu alitaka kujihakikishia kama mtoto aliyezaa miaka ya nyuma ni wake halisi, ilibidi baba, mama mtoto na mtoto wawepo pia kuwa na mashahidi wa kila upande, na mbaya zaidi kipimo hakipimiwi tz ni hadi kwa mzee jomo kenyeta na matokeo yanatoka kwenye mtandao vinginevyo useme kuwa unataka yawe siri. pia bei yake ni malaki ya sh.

This is very sad indeed by the way ni Hospitali gani hapa Bongo wanatoa huduma ya DNA test na kwa gharama gani na majibu yanatoka after how long??

Asanteni
 
Last edited by a moderator:
Ubinafisi umeingia hadi kwenye damu!na ci rohoni tu! Ni ngumu sana mwanaume sasa hivi kulea damu ambayo ci yake!! Tena uzao wa kwanza!! Akapime DNA,
 
Hivi hapo tatizo ni....
Kuzaa, uchangudoa wa binti, usaliti wa binti au kusingiziwa mtoto ? na je kuna uhakika kwamba alijua mtoto ni wa A na sio B

Ngoja nikupe scenario vipi kama alibakwa au kama jamaa yako ndio alimuiba huyo binti kutoka kwa best friend wake
 
muwe mnasoma thread imeanzishwa lini ,na mjaribu kupitia post zote..... hii solution ilishapatikana wakuu.
 
Nina jirani jamaa yangu ameoa mwaka jana Novemba! Ilikuwa hivi: binti alipata mimba: basi jamaa kachagizwa fasta fasta wafunge arusi. Na kweli ilikuwa arusi babu kubwa! Wote wanafanya kazi: binti mwal. primary na jamaa anafanyia Benki!

Sasa mtoto amezaliwa: mtoto mzuri na tena mtundu sana wa kiume ana miezi mitano- yule mtoto copy right anafanana na ex boyfriend wa huyu dada! Inaonekana binti alikuwa na hawa jamaa wote wakati mmoja: ndo akaamua kumsingizia huyu wa benki!

Huyu jamaa yangu nae ameshtuka: juzi alishare nami kama rafiki akaniomba ushauri! Kumrudisha kwao: ni aibu kubwa sasa kwake na familia zao wote! Pia jamaa anaogopa kumuuliza mke wake kama huyu mtoto ni wake! Ila anasema mapenzi yake kwa mkewe yameanza kupungua kila akimtazama mtoto!

Je afanyeje??

kwanza kabisa kabla ya kufukuza amle tigo. alafu hamna kumpeleka kwao...huyo ni kufukuza tuu tena kama mbwa....wanawake bana mie ndio maana nasema sio sio...nikugegeda na kusepa
 
Mzabzab, hebu nielimishe tafadhali. Tigo huwa ni adhabu ama huombwa kwa mapenzi? Nijue mapema usikute mwenza amehamia digitali.
kwanza kabisa kabla ya kufukuza amle tigo. alafu hamna kumpeleka kwao...huyo ni kufukuza tuu tena kama mbwa....wanawake bana mie ndio maana nasema sio sio...nikugegeda na kusepa
 
Labda wakati dada alipokuwa mjauzito,huyo bwana aliyefanana na mtoto ,alimpita mgongoni si ndio wazee wetu walisema hivyo ? Kwa hio ukimwona dada ana mimba usipite mgongoni kwake mtoto atafanana na wewe
 
Back
Top Bottom