Mke kazaa 1st Born na Bwana Mwingine: Utafanyaje?

Labda wakati dada alipokuwa mjauzito,huyo bwana aliyefanana na mtoto ,alimpita mgongoni si ndio wazee wetu walisema hivyo ? Kwa hio ukimwona dada ana mimba usipite mgongoni kwake mtoto atafanana na wewe

Hiyo kali.
 
Mzabzab, hebu nielimishe tafadhali. Tigo huwa ni adhabu ama huombwa kwa mapenzi? Nijue mapema usikute mwenza amehamia digitali.

well inaweza kuwa zote mbili inategemea na situation...mie naomba tigo kama nataka kumbwaga demu...najua akininyima nimepata sababu ya kumuacha...akinipa well its a plus
 
chamsingi amuulize kwanza mkewe kwa utaratibu 2 ajue atamjibu nini na kama akisema mtoto ni wakwake ndo achukue jukum la kwenda kupima DNA na apate ushauri pia kwa wazazi watasemaje kwa upande wao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom