Shauri yako wewe jipendekeze tu kwa mume wa mtuHii mada haiwuhusu wafirwaji, kaa mbali tafadhali!!
Ajamuacha 7bu ya ela hizo chche
Anataka kumuacha 7bu ni mwizi
Ndio MWIZI
ishi na mtu mwenye TABIA zozote zitavumilika awe mke ndugu rafiki nk zitavumilika
Lakini Mwizi afai
Mke Mwizi ni mbinafsi
Rafiki Mwizi ni mnafiki
Huwezi kuishi na mke MWIZI na MBINAFSI
Omba upewe
Mm namuunga MKONO ila ampuuzishe aende kwao
Akijirekebishe amrudishe na awaambie ndugu wa huyo mke kuwa mkewe ni MWIZI
NakaziaAtamuacha mke wake aje akuoe wewe. Shauri yako
Sijamfuata, kanifuata nyumbani. Sijawahi na sitowahi kuyafuatilia maisha yao kwani sina sababu. Mi nimeshauri nilivyoona, kuuchukua ushauri au kutouchukua hilo lipo juu yake na nimemwambia kabisa kuwa I don't give a dam.....nitaendelea na shughuli zangu kama kawaidaBaada ya mume kupatana na mkewe kama nakuona sura Yako 😥
Ugomvi wa mke na mume hauingiliwi by the way hiyo issue ni mdogo rahisi kuirekebisha
Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.
Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.
Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.
Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
Kama mume wake hampagi pesa za matumizi yake? Na za msosi anaacha mbazo baada ya msosi zinaisha zote?Ndugu, unaijua kazi yake?!!! Halafu hilo tukio limeendelea kwa mwaka mzima na kwanini amfiche mumewe kwa kufuta jumbe za miamala?!!!!!
Dah Wanaume tutafute hela.Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku.
Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku huduma akizitoa.
Lakini pia anadai kuna cases nyingi tu za ye kupoteza hela kila mara bila kuelewa, ingawa alidhani ni yeye mwenyewe tu anazipoteza lkn kwa hali hii anahitimisha kuwa itakuwa ni huyo mke aliyekuwa anamchezea michezo hiyo.
Kwakuwa siku za mwizi ni arobaini amegundua hilo juzi tu baada ya kutumiwa hela ya mtu huku salio likiwa hilo tu, sasa kila akijaribu kutoa anaambiwa salio halitoshi. Alipowapigiwa huduma kwa wateja wakawa wanamwambia mbona umetoa hela mwenyewe. Sasa alipochukua taarifa za miamala ndipo alipokutana na hayo. Mke alikuwa anafuta jumbe zote anazofanya miamala mume asione.
Mimi nimemwambia amwache, tena leo usiku huu huu kwani sio mtu wa kawaida huyo dada.......huwezi kujua ameshamdanganya mangapi na amepanga mangapi dhidi yake! Vipi wadau nimeshauri vibaya?!!!!!
Mh, kuelewesha ni kazi sana aisee!Dah Wanaume tutafute hela.
Yaani amuache mke kwa 45,000
Manake kwanza ncheke.
Nlidhani anamuacha coz anachapiwa kumbe kujirushi hela.
Mume wa dar ndani ya mada!!1,000 x 30 = 30,000/=
5,000 x 2 = 10,000/=
Jumla 40,000/= kwa mwezi.
Mshahuri kila mwezi awe anampa mke wake 50,000/= ya matumizi binafsi.
Huwezi muacha mtu kisa cha kingese ivo.
Nami nakazia kuwa post# 15 inakuhusu.Nakazia
Post #15 inakuhusuAmwache mke wake aje akuoe wewe? Waache na mambo yao, mwambie jamaa yako attafute pesa zaidi.
Sijamshauri mwanandoa yoyote. Nimesema waachwe na mambo yaoPost #15 inakuhusu