Sigma
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 5,006
- 1,254
Tatizo lako ni kuwa, hujui kuwa Population ya watu milioni 45 Tanzania inasumbuliwa na mtu mmoja tu, ambaye ni Kikwete.Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? ox
Na Kwa sababu iyo hiyo ndo mana hao watu mil45 wamesahaulika anajadiliwa mkombozi wa afya ya watanzania mil45.
Funguka.