Mkasa wa Dr. Ulimboka: Inawezekana Kabisa Sio 'Inside Job'!, bali ni 'Smear Campaign'?!

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea

Serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.

Hoja za msingi hapa ni 2.

1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina Issa Ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.

2. Jeshi la Polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya Dr Ulimboka. wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.

Just thinking outside the box
 
So sad, kweli wa TZ wered wetu mdogo sana.
na hii ni too low!
 
HANS ROGER DIBAGULA, Nimekusoma, kwangu mimi si haki kumvamia mtu akiwa kwenye shughuli zake binafsi na kumpeleka kusikojulikana bila ya ridhaa yake. Si haki kumpiga raia, kumng'a meno na kucha, (tena bila ganzi), kumvunja miguu, kumvunja taya! Si haki.
 
Last edited by a moderator:
HANS ROGER DIBAGULA, Nimekusoma, kwangu mimi si haki kumvamia mtu akiwa kwenye shughuli zake binafsi na kumpeleka kusikojulikana bila ya ridhaa yake. Si haki kumpiga raia, kumng'a meno na kucha, (tena bila ganzi), kumvunja miguu, kumvunja taya! Si haki.

Na si haki pia kuilaumu serikali bila ya kuwa na ushahidi kuwa serikali ndio imefanya hivyo

si haki hata kidogo
 
Haha we bwana naniliu nawe! Unahoji police kuita press release kwani hujui kuna kukimbilia kujisafisha? Na isitoshe kama wamehusika ni wazi kuwa wamepanic baada ya kuona mpango haujafanikiwa. Pengine walifikiri haitojulikana na waliamini wananchi wangebaki na "Dr. Ulimboka, hajulikani alipo" na hivyo tusingekuwa na hoja ya kuwauliza wao (wala serikali wanayoitumikia).

Kama wamehusika
 
Mhuuuuu! haya bwana; we HANS ROGERS DIBAGULA ndivyo ujuavyo si rahisi kukubadilisha kwa unachokiamini bwana.
 
Na si haki pia kuilaumu serikali bila ya kuwa na ushahidi kuwa serikali ndio imefanya hivyo

si haki hata kidogo

Labda nimalizie, si haki kwa raia kutendewa vitendo vya kinyama na hata wengine kuuwawa lakini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa. (NB- nadhani unaangalia issue ya Dr Ulimboka in isolation).
 
kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake na mawazo yake japo wengi hawatokubaliana nayo

mimi nahisi there is more to this issue zaidi ya haya ambayo yaliopo kwenye public domain
 
Dr Ulimboka ni raia kama raia mwingine na watu wengi washakumbwa na makubwa zaidi yake. Tanzania ina watu milioni 45 sasa itawezekana vipi mtu mmoja awashughulishe watu wa JAMII FORUMS namna hii? Kuna watu wamekufa na wameteseka zaidi ya huyu mtu mmoja, sasa sielewi kwa nini baadhi ya watu wanataka kuilaumu serikali kwa yaliyotokea

Serikali iko bize kushughulikia hii migomo na jeshi la polisi haliwezi kupeleka resources zake zote kushughulia kesi ya mtu mmoja wakati wengine wanapata taabu zaidi yake.

Hoja za msingi hapa ni 2.

1. Serikali haiwezi kulaumiwa kuwa ilimteka na kumpiga. Tanzania sio banana republic na ni nchi inayoendeshwa na sheria na kama hakuna mwenye ushahidi wa kutosha kuwa serikali ilimteka ulimboka then fikirieni conspiracy theories zingine lakini sio kumteka na kumpiga huyu jamaa. Kuna watu ambao wanaiendesha mbio serikali kama akina Issa Ponda wapo na hakuna aliyewateka wala nini.

2. Jeshi la Polisi hawawezi kulaumiwa kwa lolote. Na sikuona sababu ya mkuu wa polisi kuitisha press conference juu ya Dr Ulimboka. wao wangesema kuwa jalada limefunguliwa na wataishughulikia kesi yake kama mtu mwingine.

Just thinking outside the box

That BOX must be sealed without external input!! teh teh teh.
 
Subiri siku yako ifike kama hutataka watu wote wakuhurumie!
 
Mkuu Hans R. Dibagula,

Kauli yako ni ile ya wale wanaokula na kufaidika na ukandamizaji.

Ukandamizaji ni chombo chenye nguvu kubwa na kinamilikiwa na watu wenye nguvu kubwa ambao wamejikita vilivyo.

Ukandamizaji au kwa kiingereza Oppression upo Tanzania na unaendelezwa kwa uangalifu sana chini ya mwamvuli wa Amani na Utulivu.
 
Sorry, nilipoposti humu JI, nikaambiwa mpaka kibali cha mode, hivyo nimeipandisha majukwaa huru yasioyohitaji kibali chochote!

Pasco
 
Leo unashabikia na kuweka kejeli katika hili, ila tusipo lifanyia kazi kwa umakini litakukuta wewe au mimi ambao leo tunafurahili kwa kusema wtz tupo 45 mill. Tuwe makini tuache vyombo vyenye mamlaka wafanye kazi yao. Leo ni Uliombka kesho inaweza ikawa mtaa mzima kwa kisingizio cha kuwa ni serikali. tuwe makini acha uchunguzi ufanyike tutajua mwanzo nam mwisho
 
Back
Top Bottom