NGUVUMOJA
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,347
- 325
Upo uwezekano kuna watz ama wamefiwa na wazazi, ndugu, jamaa, marafiki, au wapenzi. Kisa? 'madaktari wamegoma!' Mtu anajiuliza kulikoni? Anapewa ufafanuzi, 'madaktari wanawatakia mema na neema wagonjwa. Ikiwemo huduma bora!' Loooh jamaa hasira zinampanda zaidi. Anasoma magazeti na kufatilia habari anakuta kinara ni ulimboka. Ahaaa! Ngoja nimuonyeshe uchungu wa kufiwa. Je inawezekana?