Shukrani mkuu picha za Candid Scope zilikuwa za matango pori.Picha nimetuma kwa mods watuwekee. Nimepiga za kutosha.
Wamemaliza wataendelea na mashahidi wengine... Wako nje watu wanampongeza Mkapa
members wengine hawaoni kama ni issue kwa jinsi wanavyopoteza credibility yao hapa jamvini. Si ajabu mwishowe wakaja kuambiwa kuwa 'wanasubiria matokeo yao ya form iv!Inaonekana hii picha ameitoa kwenye website ya Mwananchi. Lakini huko hawajaandika kwamba hii picha wameichukua mahakamani. Wameandika tu ni picha ya Mkapa.
tuzifuatilie hatua za huyu jamaa kwa umakini sana, haya ni maandalizi yake ya kugombea Urais
Thanks pia,members wengine hawaoni kama ni issue kwa jinsi wanavyopoteza credibility yao hapa jamvini. Si ajabu mwishowe wakaja kuambiwa kuwa 'wanasubiria matokeo yao ya form iv!
asante sana mkuu n00b kwa kutujuza https://www.jamiiforums.com/members/n00b.html
Wamhoji na swala la baba wa taifa
Duh! Kweli kapanda Kizimbani....tusubirina tuone. Yetu macho tuLeo mh. Benjamin Mkapa amefika Kisutu kutoa ushahidi kwenye kesi ya Mahalu.
Taarifa zaidi zinafuatia
Mkapa:
Nilitoa maelekezo ya kununua jengo kama India, Us na Uingereza.
Sikuuliza kwanini ilikua akaunti 2 tofauti.
Siwezi kusema siri nyingine maana zinaweza kuleta matatizo ya Kidiplomasia na Italy. Thanks God Italy hawakuwahi kulalamika!
Huyu hakupaswa kupanda Mahakamani kutoa ushahidi bali alipaswa kupanda Mahakamani kujibu tuhuma za ufisadi na kufanya biashara akiwa Ikulu.