Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,221
- 219,400
Labda kwa wale ambao hawaelewi ni hivi , Chadema sasa imeamua kuchukua wananchi wote na kubakisha viongozi pekee , yaani wananchi wote wanakuwa wanachadema halafu ccm inabaki na Viongozi tu .
DED , DC , POLIS , MAYOR , RC , MAWAZIRI , WABUNGE pamoja na familia zao , kwa hesabu hawafiki hata mil 2 , hawa wala hawana hata uwezo wa kununua shahada za kupigia kura wala kukimbia na masanduku ya kura kutokana na kuwa na visukari vilivyosababishwa na matumbo makubwa .
Yaani CHADEMA na Wananchi , ccm na viongozi , itafika wakati watahutubia watendaji tu , hawa tukichukua wananchi ni wepesi kuliko pamba .
Angalia Mkakati wa Tarime Mjini , hakuna mabomu wala nini .