Paul Makonda " CCM Haitakubali Kuona Mwenyekiti Wetu Rais Samia anaomba Kura Kwa Kupiga Magoti Kisa Uzembe wa Viongozi"

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,128
49,849
Mwenezi wa CCM Paul Makonda ameendelea kukiwasha huko Katavi akisema ccm haitavumia Wala kukubaki uzembe wa viongozi au Watendaji wa Serikali ambao hawatimizi wajibu wao na kwamba hawako tayari kuona Mwenyekiti wao anaomba kura 2025 Kwa kupiga Magoti.

Kazi inaendelea na Chadema wamepoteana kutafuta kiki Mpya maana Makonda ndio habari ya Mjini na Wananchi wamekubali shoo.👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C29NuAxshJ2/?igsh=djRuenV3bGpvMHJr
 
Wewe mpumbavu mbona mwanzo ulikuwa unampinga Makonda ?
Wewe mpumbavu nilikuwa nampinga nasemaje?

Makonda anafaa Kwa nafasi hizo hizo,Mimi nimewahi Hadi ku suggest humu Jukwaani kwamba Rais amteue awe PM baada ya uchaguzi Sasa wewe upimbi wako umeitoa wapi?

Nampinga Makonda kuwa Rais kwa sababu hafai kulingana na hulka zake ni mtu wa mihemko kama Mwendazake.
 
Nasikitika, Mama Samia akija jimbo la Ukonga ambako mbunge wetu ni Mhe. JERRY Slaa anaweza kuomba kura sio kwa kupiga magoti bali kwa kugalagala. Miundo mbinu hasa barabara ni hovyo kuliko uhovyo wenyewe
Kwa nini? Hapo wazembe ni hao Wabunge wenu sio Samia.

Samia hawezi kukaa Kila mtaa Nchi hii,ndio maana mkawachagua hao.
 
Kivipi? GIA gani nimebadili?
 
Sasa huyo msukule wa Mwendazake ndio msingi wa hoja Yako? Acha ujinga
 
Msiba gani?
CCM wametoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla kifo chake.

Kwamba Thadei Ole Mushi kafariki tarehe 04 February 2024 lakini CCM salamu za rambirambi zinaonekana kutolewa tarehe 03 February 2024.
Muda huu kila jambo linapaswa kutiliwa mashaka, Je ni bahati mbaya.? au waliandaa mapema salamu zao za rambirambi wakijua atakufa hivi karibuni..?
 
Mwenezi wa CCM Paul Makonda ameendelea kukiwasha huko Katavi akisema ccm haitavumia Wala kukubaki uzembe wa viongozi au Watendaji wa Serikali ambao hawatimizi wajibu wao na kwamba hawako tayari kuona Mwenyekiti wao anaomba kura 2025 Kwa kupiga Magoti.

Kazi inaendelea na Chadema wamepoteana kutafuta kiki Mpya maana Makonda ndio habari ya Mjini na Wananchi wamekubali shoo.👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C29NuAxshJ2/?igsh=djRuenV3bGpvMHJr

Iko hivi, zama zako zikishapita zimepita hata upake mkorogo. Ccm ni chama Cha kizazi kilichopita, ndio maana hakiko tayari uwanja wa ushindani uwe sawa, maana wanajua lazima wakalishwe. Hata dhalimu magu alikuwa na nyomi za nguvu za Dola, ilipofika wakati wa uchaguzi akaona nyomi za kweli bila matangazo Wala mabavu, aliona isiwe tabu akaishia kupora uchaguzi kuliko kifedheheka. Hakuna kitu kigumu kama kushindana na ukweli.
 
CCM wametoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla kifo chake.

Kwamba Thadei Ole Mushi kafariki tarehe 04 February 2024 lakini CCM salamu za rambirambi zinaonekana kutolewa tarehe 03 February 2024.
Muda huu kila jambo linapaswa kutiliwa mashaka, Je ni bahati mbaya.? au waliandaa mapema salamu zao za rambirambi wakijua atakufa hivi karibuni..?

Kama zile salamu za rambirambi walizokuwa wameandaa kwa ajili ya Lisu, bahati mbaya hakufariki!
 
Back
Top Bottom