Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 3,542
- 4,588
Vifo vikaleta amaniVita ikaleta vifo
Vifo vikaleta amaniVita ikaleta vifo
watu hawaelewi maana ya hatia pasi na shaka..Kwa nini wengi wanapinga hii hukumu utadhani wana uhakika kuwa ni yeye aliua? kwani huyo dada wa ''bilionia'' aliyeuawa ndugu zake hawana fedha? Wazazi hawakubakia na chochote?
simple..mngejipanga upya kukata rufaa..kama mnavigezo vya msingi....Let's assume wewe ni kaka wa Aneth Msuya, baada ya hii hukumu ya leo. Ungefanyaje?
Sasa mngefanyaje kwa mfano?Sheria haioni ndani kweli pesa. Mawakili wetu wanajua kuchangamkia fursa. Ndio maana Magu alikuwa hataki ujinga
Jamaa walikuwa wanavuta muda kidogo watanzania wasahau
Tafuta pesa sana Utaipenda hii nchi. Kesi ni Biashara nzuri Tanzania
Mmeshindwa iloga TanescoNgoja wazee wa Kipare wakakae Kikao chao Mbona huyo mama atajinyonga mwenyewe
Muuwaji ndo huyo kaachiwa asakwe wapi tena? Limama lile lilimuuwa mme, likamuua na wifi kupoteza ushahidiAlikufa ila walomuua sio waliofunguliwa kesi, jamuhuri imeshindwa kvthibitisha, jamuhuri iwasake wauaji, hiyo ndo hoja ya mwamba
Wauaji wa marehemu si walishiahukumiwa au mi nachanganya mafilesNi aibu kwa Jamhuri kuwashikilia watuhumiwa kwa miaka zaidi ya 8 huku wakiwa hawana ushahidi uliojitosheleza.
Wafungue shauri upya sasa la mauaji ya marehemu ili wahusika halisi akamatwe na kufunguliwa mashtaka ya mauaji.
Hakimu anapomuachia mtuhumiwa hua anataja na "grounds“ alizotumia to make such decisions. Yaan vipengele vilivyompa doubt ni vipi.Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemkuta hana hatia Miriam Steven Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, bilionea Erasto Msuya hivyo ameachiwa huru baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yake.
Miriam pamoja na mshitakiwa mwenzake, Revocatus Everist Muyella, maarufu kama Ray, walikuwa wanakabiliwa na shitaka la mauaji ya kukusudia, wakidaiwa kumuua kwa kumchinja Aneth Elisaria Msuya ambaye ni wifi yake Miriam.
Miriam na mwenzake Muyella walidaiwa kutenda kosa hilo la mauaji ya kukusudia Mei 26, 2016 huko nyumbani kwa Aneth Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Hukumu ya kesi hiyo ya jinai namba 103 ya mwaka 2018, imetolewa leo Februari 23, 2024 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Pia soma:
Huo ndo ulipaswa kuwa mjadala, watu wanaongozwa na hisia!Hakimu anapomuachia mtuhumiwa hua anataja na "grounds“ alizotumia to make such decisions. Yaan vipengele vilivyompa doubt ni vipi.
Huyu wa hii kesi alisemaje kwani?
Alimuua mme wake akamchinja wifi yake, wewe na ukoo wako mtachomwq petrolNampenda mke wa Marehemu bilionea Msuya.
Alimuua mme wake akamchinja wifi yake, wewe na ukoo wako mtachomwq petrol
Kwani wapi nimeongelea uhuru wa mahakama? Nimeongelea udhaifu wa mawakili wa serikali kwa trend ya kuangushwa kwenye kesi za non-political but high profile.Kwa hyo kumbe leo mahakama zipo huru? Tofaut na mnavyo imba siku zote
Kesi ya Mbowe afande Kingai na wenzake wapelelezi wabobezi yaani ndio wanategemewa na jeshi ila waligeuka kituko mbele ya mahakamaShida sio kakolaki.
Kakolaki ni mzoefu kwenye kesi za jinai kafanya miaka mingi tangia akiwa wakili aa serikali , kapitia pia tume ya kupambana na madawa ya kulevya, huko ndiko anakopajua.
Tatizo lipo kwenye upepelezi, haufanyiki vizuri, niliwahi kushauri hapa na pia tume ya haki iliyoundwa na kumpa ripoti Rais Samia ilikuja na maoni kama hayo kuwa iundwe taasisi maalum ya upelelezi wa makosa ya jinai.
Bila kufanya hivyo tutarudi hapa kulaumiana kila siku.
mbona hukwenda kutoa ushaidi mahakamani ili anyongwe hadi kufa.Muuwaji ndo huyo kaachiwa asakwe wapi tena? Limama lile lilimuuwa mme, likamuua na wifi kupoteza ushahidi
Yaani bure kabisa! Kijana wangu aligoma kusoma hgl ili kwamba wakasome sheria pamoja na mabembelezo ya mwalimu wake akaweka wazi kabisa "mimi siwezi hizo dhulma!"Sheria ni utapeli mtupu ,mtu anafanya dhulma kweny haki ya mtu.
dronedrake the notorious staunch die hard marriage rejectorJamaa zetu wa kataa ndoa wanazidi kupata umaarufu tu.