Wakuu najua mnahasira na huu mchezo unaofanywa na hili shirika la mwanga. Mchezo wa mgao wenye wimbo wa dharura kila siku. Lakini nawasihi angalieni huo mdahalo msikie hizo sababu wanazotoa.
Duh!,hawa vijana wengi wa chuo kikuu watawaua hawa wazee na presha,wamebeba mipango kibao lkn hakuna hata mmoja unaotekelezeka.Viongozi wa Tanesco bogus tu na Serikali yao wanayoitetea kuwa inawasaidia
The problem of electricity supply jn Tannzania is potentially a serious issue for discussion but was made very light because of itv lightweight presenters. Itv pls take the lady presenter to light entertainment programmes.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.