Mjadala wa umeme ITV

MAYOO

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
201
52
Wakuu najua mnahasira na huu mchezo unaofanywa na hili shirika la mwanga. Mchezo wa mgao wenye wimbo wa dharura kila siku. Lakini nawasihi angalieni huo mdahalo msikie hizo sababu wanazotoa.
 
Nipo makini namsoma fresh huyu mtaalamu anae jieleza hapo katika tv.
 
Jamani angalieni wafanyakazi wa Tanesco Itv Live wanavyoongea utumbo Ccm ipo kila kona ya ofisi za serikali ya ccm
 
Hawa wafanyakazi wa Tenesco, wameongea kiwango cha chini sana, wamepoa kama wamemwagiwa maji vile,
 
Duh! Eti Tanesco wana master plan ya miaka 25, kwa hiyo tatizo la umeme bado tunalo hadi 2025.
 
Duh!,hawa vijana wengi wa chuo kikuu watawaua hawa wazee na presha,wamebeba mipango kibao lkn hakuna hata mmoja unaotekelezeka.Viongozi wa Tanesco bogus tu na Serikali yao wanayoitetea kuwa inawasaidia
 
Kumbe Tanesco itabinafsishwa??....hii itakuwa safi sana.
Kwa maelezo ya Tanesco ni kuwa Tanesco ilikuwa ktk mipango ya kulibinafsisha ktk miaka 8 iliyopita lkn ss wamebadili mawazo halitabinafsishwa.
 
The problem of electricity supply jn Tannzania is potentially a serious issue for discussion but was made very light because of itv lightweight presenters. Itv pls take the lady presenter to light entertainment programmes.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom