Mjadala wa Pili wa Wizara ya Nishati na Madini: Ngeleja kujiokoa?

Tatizo CCM hawajiamini. Waliogopa kuweka hii mikakati ya NSSF na Symbion kwenye bajiti aliyoiwakilisha Ngeleja mwanzo sababu hawana uhakika kama itakuwa imetekelezeka kabla ya 2015. Sasa wamebanwa wameona waiweke kuturidhisha. Sasa wajue kwamba Watanzania tutawajaji kwa hizi ahadi wanazotupa. They better know this kwa sababu bila huu umeme kutafutiwa ufumbuzi 2015 hapatakalika Tanzania. Tumechoka sasa, umeme shida, kwa wale wanaotumia taa za kandili mafuta ya taa bei juu, wale wa majenereta diesel shida, very soon utasikia bei za mishumaa zimepanda kama bado hazijapanda mpaka sasa hivi.... Maisha gani haya! aahhh
 
Mpaka December kuna ahadi ya MW 300 hivi
Ila mikataba yote ni ya "capacity charge" yaani kama ile ya "IPTL na wenzake"....
Zimamoto hii itendelea mpaka mwakani ambapo kuna hadithi za MW zaidi ya 500..... kuna blah blah nyingi za Ngeleja!
Tometoa tatizo hapa na kulipeleka pale as mipango hii ni ya gharama sana katikati ya serikali inayoendesha mambo yake kwa anasa ya hali ya juu.
Mpango mzima utagharamiwa na mikopo toka benkiza kibiashara... imekuwa justified kuwa "mbona marekani inakopa!!"
 
ngeleja naona anasisitiza kuwa sisi kwetu tanzania tunatoza kiasi kidogo sana kwenye umeme kulinganisha na wenzetu wa kenya na uganda..anataka tanesco wajitegemee kwa kutoza kiasi cha juu.hapa vp wakuu ghalama zitapanda nini? na sijui itakuwa ni lini!

Daima werevu haupimwi kwa ujinga.
 
Back
Top Bottom