Mizania ya haki; Kile alichopaswa kufanya Makamba jr

Makamba naye yawezekana kajibu haraka aone mangi anajuakiasi gani akili kubwa makamba ngoma inogile lowasa anajua huo mziki kimambi kaingia cha kike
 
Tatizo kubwa katika nchi zetu za kiafrica ni kua malimbukeni,katika.hali ya kawaida ukitafakari andiko la Mange unaona haiba ya kujiamini kulipotukuka na pasi na hofu juu ya alichoandika mwandishi.. lakini kwa mujibu wa hali ilivyo,serikali za mataifa ya 3rd worldcountries zinamatatizo ya kuacha kufatilia habari za ukweli na kuzipa kipaumbele taarfa za uongo (rejea utendaji kazi wa bosi wako hapo ofisini) yaani wakuu wanapenda majungu kuliko ufanisi wa kazi,sasa hapa ndo kipimo kwa mh.rais kama the so called"jipu"litatumvuliwa au ndo fadhila za mzee wa jiji zitaendelea kuheshimika kwa kuacha allele zake ziendelee kutimbwilika..
My take
JPM mlinde kimambi akupe mauozo ya mawaziri na wengine ambao huna taarfa zao,tena ndo maana january hata hakujaza fomu kuwasilisha tume ya maadili maana yawezekana anauchafu mwngi sana.
Nawalaani waliompitisha 5 bora za ugombea urais na nawapongeza walioona mbali kumkatilia mbaali.
Note
JM ni mtu mkubwa wala sina hitilifu nae ila ukweli lazima usemwe
 
Mimi what I see ni JPM,is buying time-naamini kabisa its just a matter of time,huyu Makamba will be history
 
Tafakuri kumbe mahisiano ya kimapenzi yaweza sababisha rasilimali kuliwa na matapeli. Tujaribu kukisia hiyo ni familia ya makamba tuu, bado ya JK, Sumaye, na viongozi waandamizi wote kama kuna deals za mfano huu wa underground ndio maana nchi inajaa marange rover yasiyojulikana kipato kimetokea wapi
 
Huyu makamba alivotoka na kukiri imewaaminisha watu kuwa ni kweli wamehusika. Kwenye life lazima kujipanga kabla ya kujibu. Mange watu walijua mzusji ila walivojibu ndo basi tena bora sasa wapige kimya kwanza
Ni kweli makamba kafanya,sasa mnaposema angejipanga mlitaka tusijue ukweli?Ama mnamaanisha ni i?
 
Leo hii watu wanalamba asali..wanakula kwa urefu wa kamba zao..kweli uchawi upo
 
Back
Top Bottom