Jamani nimenunua Mitsubishi Pajero iO ina kama miezi kumi tu, lakini imeanza kusumbua hasa misi zimekua nyingi na wakati mwingine inanizimikia kwenye foleni hapa mjini.
Nimejaribu mara kadhaa kuipeleka gereji mafundi washanilamba mara kibao lakini tatizo lipo palepale, nimebadilisha kwa maelekezo ya mafundi hadi plug (ambazo zote nne ni kama laki moja) mara mbili lakini bado tatizo lipo palepale.
Nishaurini wazee tatizo ni nini nimechoka sasa