Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Nimeiweka vizuri ili ionekane kwa uzuri zaidi.
Mdogo wake Komba.
Nimeiweka vizuri ili ionekane kwa uzuri zaidi.
Hawa jamaa wanacheza na members wa press wanaumbuka sasa!!!!!!!! Huko walikwenda kufanya biashara gani, maana huu mkutano hauwahusu kabisa!!!Sorry, naomba nitoke nje kidogo. Of course hata huyo asiyesinzia naye amelala tu si unaona kabisa anaangalia picha tu. Well, nitaomba kusaidiwa in case hii obsrvation yangu si sahihi.
Kwa haraka haraka simwoni rais mwingine zaidi ya our cheap president. Hivi kwanini hakumwacha huyo anayelala hapo aende peke yake? Hiki kikao si cha marais I'm sure waandaji hawakumtarajia ndio maana unaona wamemrundika hapo maskini. Its high time rais wetu awe na aibu kidogo mbona alishasafiri sana alipokuwa minister hachoki tu? Mbali ya hasara tunayopata lakini pia tunonekana hamnazo sisi wote inakuwaje rais anakuwa na muda mwingi hivi wa kuzurura?
Hii nchi inaoboa sana.
cheki Mizungu ilivyo active, ndiyo maana inatuacha
Jamani,
Aina ya mapato kwa nchi Shilingi za kitanzania Revenue collected on behalf of the government (hizi ni PAYE na NSSF) 66,129,144,000.00 Total Taxes (yaani Corporate tax, withholding tax, SDL (Skill development levy), import duty, fuel levy ni zero yaani hawalipi na sector specific taxes yaani (loyalties - Mrahaba wa aslimia tatu kama matusi vile?, License na permit fees, mineral concessions, kaprofiti wanakopata TPDC, Local government levy - Zile dollar laki mbili wanazolipwa kule Tarime, Geita na Kahama na devidends inayopata serikali kwenye makampuni kwa sasa hivi ni sifuri) 62,293,938,000.00 Jumla kuu 128,423,082,000.00 Asilimia ya mapato kutoka na kodi ya wafanyakazi wa rasilimali chimbwa 51% Mchango wa kodi za makampuni moja kwa moja 49% !
View attachment 24230nimeikuta hapa: JIACHIE
Kweli hatuna rais! Nadhani kabla rais hajaenda kuhudhuria hizo semina zake za nje awe anatupa theme na aina ya wahudhuriaji wa hizi semina. Kwa kweli JK anatudhalilisha!
Ngeleja kama kasinzia vile.,kuna kitu anafuatilia kweli hapo?
hivi kuna rais mwingine hapo? au jk tuuu kajipendekeza?
Kikwete ameenda kufanya nini huko? Mbona anadhalilisha cheo cha rais?[/QUOTE
Naona kama kweli hapo alipokaa yeye tu ndiye RAIS, sina uzoefu na protocali za huko majuu, lakini nadhani angekaa karibu na marais wenzake.
Kuna maraisi watatu tu: "Participants included Presidents Otunbayeva (Kyrgyz Republic), Kikwete (Tanzania), and Guebuza (Mozambique), as well as CEOs, ministers and civil society leaders from around the world."
source:Highlights from the Paris conference: Day 1 | Extractive Industries Transparency Initiative