Minister of Energy & Mineral Resources, William Mganga Ngeleja SLEEPING in 2011 EITI Meeting

Mkwere kila kitu cha nje anataka awakilishe yeye, hapo hapakuwa na haja ya yeye kuwepo...... waziri mbadala ndio sahihi kuwepo hapo.... !!! Yeye ni dili zake zimempeleka huko kwa kivuli cha hio semina endelevu.... au sijui ndio nini tena.....
 
Jamani this is disgusting, Ndugu wananchi hata mikataba mibovu inaingiwa kwa namna hii, wakati wenzetu wanakesha wakitafuta njia mbali mbali za kunegotiate mikataba, Viongozi wetu wanakunywa P...(waziri ya ujenzi), Wakati wa negotiation katika roung table Viongozi wetu wanakoroma (a lot of bullshit). Muda wa kusign ndo wanaamka na kutia sahihi mikataba ambayo hata mtoto wa darasa la tatu angetafsiriwa maana yake kwa Kiswahili angekataa kusign. Kwa mtindo huu Umma tunayo kazi bado, nchi yetu haijapata uhuru.(NOT YET UHURU)
 
hata huo mkao wa ngeleja sio wa kiusikivu hata kidogo na huyo kj kaenda kupumzika mana yake haya maandamano na umati wa watu unampandisha presha tu akibaki nyumbani
 
Jamani,

Hiyo ni Kamera tu alikaa upande akachukua wakati mheshimiwa ameinama. Au wakati anapiga kope (eye twinkling). Thread inataka kuleta uchochezi usio na maana. Swala la kujadili ni hili lifuatalo:

Raisi Kikwete akifuatana na Membe (MB) na Ngeleja (MB) walienda Ufaransa kuhudhuria mkutano ulioandaliwa na EITI (Extractive Industries Transparency International) yaani mtandao wa kimataifa unaotetea uwazi kwenye mapato yatokanayo na rasimali chimbwa yaani Madini, vito, gasi na mafuta. Mzee Bomani ndiyo anayosimamia chapter ya Tanzania.

EITI Tanzania kama itasajiliwa kisheria watatakiwa kila mwaka kutangaza (to publish) na kuanisha mapato yote yanayotokana rasilimali chimbwa inayopata nchi. Sasa hivi tuko kwenye mchakato wa Tanzania kuwa mwanachama wa EITI kama tutatimiza masharti ya kuwa wazi kwenye mikataba na mapato.

Mwaka jana bunge lilipitisha sheria ya madini iliyopingwa sana na upande wa upinzani kwa sababu ya vipengele vya usili katika mikataba na sector hii. Lakini kwa sababu wabunge wa chama chetu ni wengi ikapitishwa. sheria inatoa hata adhabu kwa yule atakaye divulge siri zinazohusiana na mikataba hii. Hivyo basi kabla ya JK kwenda Ufaransa alitakiwa kwanza kuyafanyia mambo haya ya msingi kwanza ili watanzania wawe huru kua access mikataba hii na kujua hasa nini kimewekwa humu. Ngoja niwamegee kidogo tu mapato tuliyopata kutokana na rasilimali chimbwa so far:

Aina ya mapato kwa nchi Shilingi za kitanzania Revenue collected on behalf of the government (hizi ni PAYE na NSSF) 66,129,144,000.00 Total Taxes (yaani Corporate tax, withholding tax, SDL (Skill development levy), import duty, fuel levy ni zero yaani hawalipi na sector specific taxes yaani (loyalties - Mrahaba wa aslimia tatu kama matusi vile?, License na permit fees, mineral concessions, kaprofiti wanakopata TPDC, Local government levy - Zile dollar laki mbili wanazolipwa kule Tarime, Geita na Kahama na devidends inayopata serikali kwenye makampuni kwa sasa hivi ni sifuri) 62,293,938,000.00 Jumla kuu 128,423,082,000.00 Asilimia ya mapato kutoka na kodi ya wafanyakazi wa rasilimali chimbwa 51% Mchango wa kodi za makampuni moja kwa moja 49%

*data hizi ni kwa mwaka 2008: nazo zimepatikana kwa taabu kweli
*Kile wanachodai makampuni wamelipa kwa serikali na kile serikali inachokiri kulipwa vinatofautiana. Sijui wamekunywa? Mtajaza wenyewe, sie tunasonga mbele. Naomba kuwasilisha wana JF.
* Yaani kodi ya wafanyakazi wa migodini na kwenye gas eti ndiyo tegemeo kubwa la mapato ya serikari.
Kwenda ufaransa ni aibu tupu, sijui wanafukuzia masurufu ya safari tu hawa!
 
Ni mkutano wa gani wanahudhuria? Mbona hakuna wawakilishi wengine wa
nchi za Kiafrika?
 
Sasa nimejua sababu inayomfanya JK awe anakimbilia Ulaya kwenye vikongamano kama hivi ambavyo maraisi wenzake huwa hawana haja ya kuhudhuria,anatengeneza mazingira ya kupata nafasi ya kuishi mambo yakiharibika hivyo anatafuta marafiki wa kumsaidia wakati hali ikiwa mbaya kwake maana ameanza kusoma hali ya hewa na kujua si nzuri kwake
 
Asante kwa data. Inatia aibu na bado tunakazi kubwa.
 
kazi tunayo mwaka huu, na bado watakuwa wanaenda na blanketikwenye kumbi za mikutano.
Big up mr. jk, ngele na embe
 
Sasa nimejua sababu inayomfanya JK awe anakimbilia Ulaya kwenye vikongamano kama hivi ambavyo maraisi wenzake huwa hawana haja ya kuhudhuria,anatengeneza mazingira ya kupata nafasi ya kuishi mambo yakiharibika hivyo anatafuta marafiki wa kumsaidia wakati hali ikiwa mbaya kwake maana ameanza kusoma hali ya hewa na kujua si nzuri kwake

westerners dont know how to make friendship, huwa wanaweka urafiki na cheo si mtu. JK anajisumbua tu. atakuja kuumbuka!!
 
Chadema inatisha bwana inawanyimwa watu usingizi wanabakia kulala kwenye makongamano. Dk Slaa wa ukweli kanyaga twende HAKUNA KULALA....
 
Mkao huu unaonyesha wazi kabisa ni conference ya kawaida ambayo hata wahudhuriaji wake si mawarais au mawaziri bali executives wa taasisi, na sitoshangaa kuwa they are not even senior executives. Ingekuwa ni marais ingekuwa Summit na mkao wake usingekuwa wa namna hii kama vile watu wanavunja kamati ya harusi.

Nimejaribu kumwangalia Ngereja strait kati ya ngereja na jamaa aliye kushoto kwake kuna mzungu kama vile anamwangalia JK, sijui jamaa anawaza nini, kumwona rais wa nchi kubwa kama TZ eti anahudhuria kikongamano cha junior officers kama hicho. Jk is not even there, hicho kitabu anachosoma ........ni kama hakihusiani na mkutano huo maana hakuna mwingine aliyeshikilia kitabu kama hicho.

Linapotokea swala la Tripu, Rais wetu huwa hachagui. Hata kama amealikwa na chama cha mataxi drivers!
 
Huyu alikesha anawaza dowans nini,,,,,,na mwenzake hapo anaonekana ameconcentrate kwenye hako kakitabu,,,,sijui kana point au ndo bola liende!!!!
 
Halafu, naona Ngeleja kama anauchapa usingizi, hebu tusaidiane hapo, au anakemea pepo wa mgao wa umeme ashinwe kufikia 2033??
 
no mater what hat mimi ninamtetea Ngereja hapoa hajalala jamani,labda anatafakali tu giza lililopo huku Bongo,kweli wana tukera ila jamani tuwe realistic hapo Ngereja hajalala
 
Kwakweli Rais wetu anatutia aibu! hivi hajisikii kama yuko kwenye wrong place yeye na ngeleja wake?
Nyumbani matatizo lukuki lakini mwere yeye kiguu na njia!
Juzi kati hapa katoka kwa Bagbo kapitia kwa Kabila na almanusra angekula shaba yeye na Kabila!
Hivi mnaonaje kama na sisi tufanye maandamano ya amani ili atuachie Tanganyika yetu?
 
serikali hakuna hela - rais wetu anaendelea kufuja hizo kidogo zilizobaki.

atakimbia kimbia nchi hadi lini??? akae atulie - atatue matatizo ya nchini kwake - kama kweli yeye ni rais wa nchi hii.
 
03_11_8cu1nz.jpg

Hivi ni sahihi kumvalisha Rais wa nchi name tag? Mbona hakuna Rais mwingine? yaani tumechoma JET-A1 kibao kurusha G55 kwa upuuzi huu?
 
Back
Top Bottom