Minister of Energy & Mineral Resources, William Mganga Ngeleja SLEEPING in 2011 EITI Meeting

Nimeiweka vizuri ili ionekane kwa uzuri zaidi.

attachment.php

Mdogo wake Komba.
 
Kweli hatuna rais yaani visemina kama hivi naye yumo, inauma sana ukimuangalia vizuri inaonyesha ana ki-get pass walinzi wamemuweka kifuani kwake.
 
Sorry, naomba nitoke nje kidogo. Of course hata huyo asiyesinzia naye amelala tu si unaona kabisa anaangalia picha tu. Well, nitaomba kusaidiwa in case hii obsrvation yangu si sahihi.

Kwa haraka haraka simwoni rais mwingine zaidi ya our cheap president. Hivi kwanini hakumwacha huyo anayelala hapo aende peke yake? Hiki kikao si cha marais I'm sure waandaji hawakumtarajia ndio maana unaona wamemrundika hapo maskini. Its high time rais wetu awe na aibu kidogo mbona alishasafiri sana alipokuwa minister hachoki tu? Mbali ya hasara tunayopata lakini pia tunonekana hamnazo sisi wote inakuwaje rais anakuwa na muda mwingi hivi wa kuzurura?

Hii nchi inaoboa sana.
Hawa jamaa wanacheza na members wa press wanaumbuka sasa!!!!!!!! Huko walikwenda kufanya biashara gani, maana huu mkutano hauwahusu kabisa!!!
Are they serious!!!!!!!!
 
cheki Mizungu ilivyo active, ndiyo maana inatuacha

Huko sahihi bro. Angalia hiyo picha na utaona kuwa aidha mtowa mada anabowa au wakati huo kila mmoja alikuwa akisubiri tukio fulani. Iangalie picha kuanzia mstari wa kwanza hadi wa mwisho na utaona kila mmoja ana staili na kitendo chake na weusi ni hao wetu tu. Ukweli unajenga na uongo hauna msaada.
 

Did you find this post helpful? |
icon1.png
Mh komba apata mbadala ufaransa


nilihisi mapepo yako bungen dodoma tu kumbe hadi ufaransa kazi ipo

TUMEZOA KUMWONA MH KOMBA AKISINZIA NA KUKOROMA DODOMA SASA HUYU SIJUI TUMWITE JINA LA MNYAMA GANI


03_11_8cu1nz.jpg


quote_icon.png
Originally Posted by salisalum
Jamani,

Hiyo ni Kamera tu alikaa upande akachukua wakati mheshimiwa ameinama. Au wakati anapiga kope (eye twinkling). Thread inataka kuleta uchochezi usio na maana. Swala la kujadili ni hili lifuatalo:

Raisi Kikwete akifuatana na Membe (MB) na Ngeleja (MB) walienda Ufaransa kuhudhuria mkutano ulioandaliwa na EITI (Extractive Industries Transparency International) yaani mtandao wa kimataifa unaotetea uwazi kwenye mapato yatokanayo na rasimali chimbwa yaani Madini, vito, gasi na mafuta. Mzee Bomani ndiyo anayosimamia chapter ya Tanzania.

EITI Tanzania kama itasajiliwa kisheria watatakiwa kila mwaka kutangaza (to publish) na kuanisha mapato yote yanayotokana rasilimali chimbwa inayopata nchi. Sasa hivi tuko kwenye mchakato wa Tanzania kuwa mwanachama wa EITI kama tutatimiza masharti ya kuwa wazi kwenye mikataba na mapato.

Mwaka jana bunge lilipitisha sheria ya madini iliyopingwa sana na upande wa upinzani kwa sababu ya vipengele vya usili katika mikataba na sector hii. Lakini kwa sababu wabunge wa chama chetu ni wengi ikapitishwa. sheria inatoa hata adhabu kwa yule atakaye divulge siri zinazohusiana na mikataba hii. Hivyo basi kabla ya JK kwenda Ufaransa alitakiwa kwanza kuyafanyia mambo haya ya msingi kwanza ili watanzania wawe huru kua access mikataba hii na kujua hasa nini kimewekwa humu. Ngoja niwamegee kidogo tu mapato tuliyopata kutokana na rasilimali chimbwa so far:

Aina ya mapato kwa nchi Shilingi za kitanzania Revenue collected on behalf of the government (hizi ni PAYE na NSSF) 66,129,144,000.00 Total Taxes (yaani Corporate tax, withholding tax, SDL (Skill development levy), import duty, fuel levy ni zero yaani hawalipi na sector specific taxes yaani (loyalties - Mrahaba wa aslimia tatu kama matusi vile?, License na permit fees, mineral concessions, kaprofiti wanakopata TPDC, Local government levy - Zile dollar laki mbili wanazolipwa kule Tarime, Geita na Kahama na devidends inayopata serikali kwenye makampuni kwa sasa hivi ni sifuri) 62,293,938,000.00 Jumla kuu 128,423,082,000.00 Asilimia ya mapato kutoka na kodi ya wafanyakazi wa rasilimali chimbwa 51% Mchango wa kodi za makampuni moja kwa moja 49%

*data hizi ni kwa mwaka 2008: nazo zimepatikana kwa taabu kweli
*Kile wanachodai makampuni wamelipa kwa serikali na kile serikali inachokiri kulipwa vinatofautiana. Sijui wamekunywa? Mtajaza wenyewe, sie tunasonga mbele. Naomba kuwasilisha wana JF.
* Yaani kodi ya wafanyakazi wa migodini na kwenye gas eti ndiyo tegemeo kubwa la mapato ya serikari.
Kwenda ufaransa ni aibu tupu, sijui wanafukuzia masurufu ya safari tu hawa!






progress.gif
Reply Reply With Quote Thanks

Wacha kubabaika na majibu ya nusu nusu, kama ni hivyo Waziri na wataaramu wake wa madinina nishati si wapo???????? Kwanza ni aibu kwa Waziri kulala inaonyesha kutokuwa makini. Pili the room is so crammed a lot of people are standing. Hawa ni kama waandishi wa habari, ua watendaji wa mashirika na wafanyakazi wa chini wa serikali sio marais.
Huyu Bwn alikwenda kwendaje huko maraisi wenzake waalikwa wako wapi????????? Tupe jibu!!!!!!
 
Jamani,


Aina ya mapato kwa nchi Shilingi za kitanzania Revenue collected on behalf of the government (hizi ni PAYE na NSSF) 66,129,144,000.00 Total Taxes (yaani Corporate tax, withholding tax, SDL (Skill development levy), import duty, fuel levy ni zero yaani hawalipi na sector specific taxes yaani (loyalties - Mrahaba wa aslimia tatu kama matusi vile?, License na permit fees, mineral concessions, kaprofiti wanakopata TPDC, Local government levy - Zile dollar laki mbili wanazolipwa kule Tarime, Geita na Kahama na devidends inayopata serikali kwenye makampuni kwa sasa hivi ni sifuri) 62,293,938,000.00 Jumla kuu 128,423,082,000.00 Asilimia ya mapato kutoka na kodi ya wafanyakazi wa rasilimali chimbwa 51% Mchango wa kodi za makampuni moja kwa moja 49% !

Mkuu hebu nisaidie kuachanisha kidogo hapo ili niweze kuelewa. Umezikusanya mno pamoja taarifa tofauti kiasi kwamba umenikonfyuzi.
 
Kweli hatuna rais! Nadhani kabla rais hajaenda kuhudhuria hizo semina zake za nje awe anatupa theme na aina ya wahudhuriaji wa hizi semina. Kwa kweli JK anatudhalilisha!

Pointi! Nakuunga mkono asilimia 100! tuanze kudai hichi maana ni haki yetu kama waajiri wake...
 
Kwa hilo ndilo matokeo ya kiza hili la TZ halitoisha mapema coz wanasiasa wanakosa umakini na ndio maana hawawezi kuwa viongoz watabaki kuwa wanasiasa
 
attachment.php


Jamani jamani raisi wa nchi anakuwa branded na Name Target ama kweli Kikwete hamnazo. Huo Mkutano angeweza hata wakilishwa na yule Mbunge wa Viti maalumu.
 

Attachments

  • Kikwete.jpg
    Kikwete.jpg
    52.5 KB · Views: 120
Kwa hilo ndilo matokeo ya kiza hili la TZ halitoisha mapema coz wanasiasa wanakosa umakini na ndio maana hawawezi kuwa viongoz watabaki kuwa wanasiasa
 
kwani nyi hamjui kua ni zaidi ya vasco dagama mzee wa movements, anauza zaid ya sharo baroo, ngeleja anasinzia wamekaa utazani wapo harusin,
 
Ametufedhehesha sana huyu. Kumbe ni ki-conference tu cha stakeholders?! Hata naibu waziri hastahili kwenda kwenye conference kama hii. Sasa huyu pamoja na matatizo yooote yanayoikabili nchi yake bado anathubutu kwenda nje ya nchi kuhudhuria kaji-conference? Shame on you JK!
 
yani anazidi kujishusha status kabisa.
hao walioko pembeni yake nahisi hata nchini mwao hamna anaeenda kwa vin'gola na msafara.yani watu wa kawaida sana serikalini.
ah bwa mdogo status yake inazidi kushuka arrrrghhhh
 
hivi kuna rais mwingine hapo? au jk tuuu kajipendekeza?

The 5th EITI Global Conference in Paris was launched today [March 2, 2011] with around 900 participants arriving the conference today. Participants included Presidents Otunbayeva (Kyrgyz Republic), Kikwete (Tanzania), and Guebuza (Mozambique), as well as CEOs, ministers and civil society leaders from around the world. (Source: Highlights from the Paris conference: Day 1 | Extractive Industries Transparency Initiative).
 
Kikwete ameenda kufanya nini huko? Mbona anadhalilisha cheo cha rais?[/QUOTE

Naona kama kweli hapo alipokaa yeye tu ndiye RAIS, sina uzoefu na protocali za huko majuu, lakini nadhani angekaa karibu na marais wenzake.


Kuna maraisi watatu tu: "Participants included Presidents Otunbayeva (Kyrgyz Republic), Kikwete (Tanzania), and Guebuza (Mozambique), as well as CEOs, ministers and civil society leaders from around the world."
source:Highlights from the Paris conference: Day 1 | Extractive Industries Transparency Initiative
 
Ukiangalia list ya watakaoongea kwenye mkutano na title zao inaonesha wazi kuwa hakukuwa na ulazima wa Kikwete kama Rais kwenda huko kwani Ngeleja pekee angeweza kuiwakilisha Tanzania. Hii inatoa picha ya matumizi mabaya ya rasilimali chache za Taifa letu. List ya wazungumzaji inapatikana kwenye link ifuatayo:

Speakers | Extractive Industries Transparency Initiative
 
Ipo haja waziri kivuli bungeni naye awe anaenda kwenye conference kama hizi kwa ufadhili wa chama chake, ili atuletee data kamili ( hata kama ni kutuma mwakilishi itasaidia kuwaumbua zaidi hawa viongozi).
 
Mimi nawashangaa JK na Ngeleja utadhani bongo hawana sehemu za kulala, hivi nao Gongo la mboto iliwapitia?

Hama kweli kama kungelikuwa na test, hawa jamaa wangeamburia zero, kweli huu mkutano hauwausi ndo maana wanauchapa usingizi, JK akipritend kusoma wakati amelala,ngeleja naona usiku kama kili zilimzidi nguvu anaugeuza mkutano 6x6!

Kwa mtindo huu tusishangae mtu akiulizwa kwa nini Tanzania ni masikini wakati ina rasirimali kibao, akajibu sijui, si kwamba huwa hajui ila anakurupushwa usingizini kama mnavyowaona hapo! Watu kama hawa enzi za Dr. Lwambuka na Dr. Ruba -0 pale foe ilikuwa ni fever kwao!
 
Back
Top Bottom