Ritakahama
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 758
- 408
Uncle mengine nyamazia. Hapa nawaza honeymoon itavyokuwa hasa ukizingatia bibie jeneneke amejitunza siku zote za ubinti wake!
Tena nasubiri hiyo siku kwa hamu mpenzi ili kuthibitisha kinyume hao wote wanaojaribu kunivurugia at this stage