Mimi na Jineneke sasa mambo mwaaaaaaaaaaaaah!

So jeneneke unaniruhusu na mimi kuja kwako kutangaza nia maana lol kizuri kula na ndugu yako!
Mhhhh mh nashindwa hata la kusema,kumbe ulikua unamsingizia mshenga ruttashobolwa?leo nimemmis sijui yko bize na nini? All ni all mwanaume hafungwi wala kuzuiwa kutamani ila mwanamkeanaweza kujifunga kutamani
 
Last edited by a moderator:
Nime kuja! Usi hangaike na hao vijana, wote wameshindwa kukuthibitishia wanayo yasema japo kidogo!

Don Forget man of the people sometimes is an enemy of the people
Hata we unajua haiwezekani
 
hongereni wahusika.........ila hiyo pete ni ya aina gani ya madini?
 
Naona mpenzi Ronn M yupo busy sana lakini Erick52 is available all the time sijui ndo ameanza kunivuta maana anajua lady always wants attention of her man
 
Ile mimi uncle wako bado sijaridhika......naona ni mvinyo wa zamani kwenye chupa mpya

Uncle mengine nyamazia. Hapa nawaza honeymoon itavyokuwa hasa ukizingatia bibie jeneneke amejitunza siku zote za ubinti wake!
 
Last edited by a moderator:
Sijkuelewa hapa Erickb52 kutangaza nia kuhusu kipi hicho tena kizuri ndugu yangu unachotaka kula na mimi? Si unaona?Mnamsingizia mshenga wangu kumbe kinyume chake ni kweli.

Huyu@Erickb52 kwanza nina mashaka nae. Sichelewi kufuta undugu nae. Na nitamfungia na kuomba hizo 'zana' zinazompa kiburi zipotee japo kwa wiki moja hivi!
 
Naona mpenzi Ronn M yupo busy sana lakini Erick52 is available all the time sijui ndo ameanza kunivuta maana anajua lady always wants attention of her man

Maandalizi ya harusi ni gharama sana! Lazima muda mwingne niwe busy kujipanga! Si unajua mke siwezi kuomba msaada watu wanisaidie kutunza? Wataishia kuwa na uchu kama Eric na rutta
 
Nna salamu zako toka kwa mmeo. Anasema amekumisi sana eti.
khaaaaaaaaaaaaaaaa! kwani vipi jamani, mbona kuntu mchana huu, mwambie mume wangu ye ni hakunaga, nampenda mnoooooooo!
 
  • Thanks
Reactions: ODM
khaaaaaaaaaaaaaaaa! kwani vipi jamani, mbona kuntu mchana huu, mwambie mume wangu ye ni hakunaga, nampenda mnoooooooo!
Haya, ngoja niende mtaa wa pili nikamfikishie ujumbe. Humtumiagi hata kakiss ka mwaah nimpelekee?
 
Back
Top Bottom