Hebu nichangieni na mie nianzishe kagazeti kangu ka UDAKU basi.............!Mkuu mtambuzi awali nilipita! ila nimeona isinipite hivihivi hii thread. . nilipoona heading nikastaajabu you kno why! but nilivoona mwanzilishi ni wewe nikajiambia ni zile story zetu. . imetoka mahakamani hii! ghafla nikakuta muhusika wa hadithi ni we mwenyewe! nikagundua ni ule uwekaji wa heading kama wa magazeti pendwa lol. . kweli wewe ni mtunzi by professional! hili suala lako na wife nitarudi!