natamani wachapane ngumi jaman,kama kweli kakamatwa bse of .............................................................................................. riz kazi ipobahati nzuri ni wao kwa wao
natamani wachapane ngumi jaman,kama kweli kakamatwa bse of .............................................................................................. riz kazi ipobahati nzuri ni wao kwa wao
kaka mbona argument yako nyepesi mno?tuone kati ya lowasa na JK nani zaidi
Source ni JF kupitia Iron finger au ulitaka je... kwanza una kera ku-quote majina ili iweje, unawapa shida wanaotumia simu ku-browseMnapeda habari zisizo na source
There are currently 192 users browsing this thread. (50 members and 142 guests)
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.
Wanawazuga nini?? kwani Millya kakosea wapi???Siwaamini hawa magamba wanaweza wakawa wanatuzuga.
Polisi wamkamate:Millya anatafutwa kutoa ufafanuzi wa mtoto yupi wa kigogo aliyewashinikiza polsi kuzuia mkutano wao wa kufungua mashina na pia ni polisi yupi aliyetumiwa kwani yeye alitamka juu kwa juu chukwaani bila ya kutaja majina,pili [polisi wanadai kwamba ni umoja huo ndiyo uliotoa taarifa ya kuahirisha mkutano na ufunguaji wa mashina yake oktoba 9 lakini ukaendelea oktoba kumi bila ya kibali laini issue ya polisi ni kwamba millya awatajie mtoto huyo wa kigogo na polisi aliyetumika kuzuia mambo ya uvccm
Mkuu kumbuka Millya alisema....''tumemchagua baba yake atuongoze, sio yeye..ridhiwani''
kwa taarifa sahii ni kuwa Milya anatafutwa akajibu kwanini aliandaaa mkutano wa hadhara bila kibali na kutoa maneno ya kashfa kwa Mtoto wa Rais ambae ni Ridhwan Kikwete, Hiyo ni taarifa kutoka Police Arusha.
Maswali kwa Police!
kama tulivyo ambiwa na taarifa nyingi zilipita kwa magazeti hao UVCCM walikuwa na mikutano kwenye kata hizo walizokuwa wakifungua na kuwa na mkutano wa hadhara maeneo hayo na paka tolewa Ulinzi wa Police.
Je Iweje leo Police wanasema wanamtafuta Milya kwa kutokuwa na kibali cha kuhutubia mkutano wa hadhara na kumkashifu Mtoto wa Rais?
Je kwanini walikuwepo kulinda au kutoa usalama?
Je na kwanini baada ya kumaliza mkutano hawa kumkamata pale pale ??
Je Hii inatuambia nini kuhusu uwajibikaji wa Jeshi la Police huko arusha?
hii picha yatoa taswila mbili
My Take;
Police acheni kutumiwa na wa/mtu wa/mkubwa, Police anapofika kutoa maamuzi kama hayo kwa kuto angalia tukio halisi lilikuwaje basi police huyo he doesnt serve his Country na ana hudumia kundi fulani la wakubwa
Waandishi wa habari tunawaomba mtupe mchakato mzima ulivyo kuwa na mtupe maoni yenu na ntashangazwa sana kwani police aliye toa hiyo statement hakupigwa maswali kwani am sure kulikuwa na maswali mengi ya kumuuliza na ayajibu.
Police aliye toa hiyo statement kwa akili yake ajue amekili upungufu wa fikra/utawara katika jeshi la police

Kina makongoro ,Hussein Mwinyi na Steve mkapa mbona walikuwa hawanyanyasi wezao?
Duh!? Kumbe na wewe upo kambi ya Lowasa? Ndio maana humpendi Lema maana alimshinda demu wake!!?
huku ccm huku uvccm. Vita vya kunguru, panzi wanashuhudia
Mkuu kumbuka Millya alisema....''tumemchagua baba yake atuongoze, sio yeye..ridhiwani''
Sasa Ridhiwani anawaonyesha kwamba uraisi ni swala la kifamilia, uraisi wa baba yake ni urais wa familia....
Yeye ni mbwa wa mkuu, hivyo yeye ni mkuu wa mbwa wengine wote including Millya na wenzake.
Hao polisi wa arusha wanaomtafuta milya ni wapuuzi kabisa.
Kama mkutano haukuwa na kibali kwanini hawakuusitisha, mbona mikusanyiko ya chadema wanapiga mabomu hovyo hovyo.
Na kama walitumia "busara" mbona wasimkamate punde tu mara baada ya kumaliza kufungua hayo mashina?
Polisi wamkamate:
1) Malisa kwa kutomtaja mtu anayevuruga UVCCCM.''alisema anamjua''
2) Nape, kwa kusema anawafahamu kikundi cha watu wanaovuruga CCM.......polisi imkamate awataje hao watu!!
Ukenge tu huu!!!
Kampeni ya kuhakikisha kwamba raisi wa ccm hatoki kaskazini naona inaendelea, na bila shaka itashika kasi sana siku za hivi karibuni.
Lakini kwakuwa hawa wawili wanaounda utatu hawakukutana barabarani, sidhani kama baba riz atakuwa amehusika katika kukamatwa kwa milya
Sidhani kama baba riz anaweza kumtikisa mtoto wa lowasa. Mi nadhani kuna kitu kinatengenezwa hapa kuwapumbaza watu, tuwe makini sana na hizi sarakasi za ccm kaskazini mwa nchi!!