Millya anatafutwa na polisi athibitishe mtoto wa kigogo anawatuma polisi

Wamalizane tu,wengine bado wapo nje wanatibiwa na maisha bado yanasonga mbele na ufalme huu kina Ruz1 na baba yake utafika mwisho tu tena mwisho mmbaya
 
Ok,so amekamatwa kwa kusema "Ridhwani usiingilie uvccm" Kama habari hii ni kweli,basi tusubiri mashtaka atakayofunguliwa.Maana watu wanadhani siasa ni sheria.Those sholud be separated.Ni lazima kuwepo na mashtaka ambayo hayahusiani kabisa na wao kuwa uvccm unless Ridhwani na yeye ana cheo ndani ya uvccm.Na tena hata kama ana cheo,basi hatua ambazo zingechukuliwa ni za kichama na si eti polisi.
Hivi ni vituko ambavyo bado siviamini,unless mtupe more info.
 
Kwani kumtaja mtu ni kosa? Labda kama kuna mengine zaidi, tusubiri tuone mwisho wa movie hiyo!
mbona DR. Slaa alitaja majina kibao - Ile list ya Mafisadi Papa tena Vigogo watupu, Mbona police hawajamkamata hadi leo? Mwacheni James wa watu hatuoni kosa lake.

Au hii ndiyo dhambi inawatafuna nyie kwa nyie?
 
hivi mzee ndesa aliwalaani!!!???
sikujua!!!1

Mzee Ndesamburo alimlaani Kikwete sababu ya mabomu na risasi za moto ktk maandamano halali yaliyofanywa na Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ambapo polisi waliwaua kwa makusudi watu watatu akiwamo raia Wa Kenya.Pia siku ya mazishi watu wote tuliokuwa ktk mazishi kwenye kiwanja cha NMC tuliwalaani wengi sio Kikwete tu!!.
 
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.

amekamatwa kwa kosa gani? atashikiliwa kwa kosa gani? bahati nzuri wote ni CCM.
 
Ok,so amekamatwa kwa kusema "Ridhwani usiingilie uvccm" Kama habari hii ni kweli,basi tusubiri mashtaka atakayofunguliwa.Maana watu wanadhani siasa ni sheria.Those sholud be separated.Ni lazima kuwepo na mashtaka ambayo hayahusiani kabisa na wao kuwa uvccm unless Ridhwani na yeye ana cheo ndani ya uvccm.Na tena hata kama ana cheo,basi hatua ambazo zingechukuliwa ni za kichama na si eti polisi.
Hivi ni vituko ambavyo bado siviamini,unless mtupe more info.

Mkuu, nakubaliana na unayosema. Ila hapo penye ndipo patakapochezewa kwa maana sheria ni siasa. Huko ndiko samasoti na kila aina ya sarakasi zinaweza pigwa.
 
Mnapeda habari zisizo na source
There are currently 192 users browsing this thread. (50 members and 142 guests)

Naomba nibaki mshangiliaji maana mchezo umefikia patamu sana.
 
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.

Wakimtupa selo leo kutoka mpaka j3 ananyea debe tu
 
Mpashaji wangu kaniambia sababu kubwa ambayo polisi wamemkamata Millya ni yale maneno aliyotoa wakati wa uzinduzi wa mashina kwamba riz hapaswi kuingilia siasa za vijana na pia watanzania hawakumchagua riz awe rais wamemchagua baba yake.

Lakini la ndani zaidu kuna harusi ya kada mmoja wa ccm ambayo ilifanyika huko moshi baada ya harusi kulikuwa na kikao kisicho tambulika kisheria ambacho kiliongozwa na mkit uvccm ndugu benno yaliyoelezwa humu yalimkashifu sana riz na baba yake nafkiri nayo ni sababu!

Why not Benno? CCM maji ya pua sasa.
 
ok,so amekamatwa kwa kusema "ridhwani usiingilie uvccm" kama habari hii ni kweli,basi tusubiri mashtaka atakayofunguliwa.maana watu wanadhani siasa ni sheria.those sholud be separated.ni lazima kuwepo na mashtaka ambayo hayahusiani kabisa na wao kuwa uvccm unless ridhwani na yeye ana cheo ndani ya uvccm.na tena hata kama ana cheo,basi hatua ambazo zingechukuliwa ni za kichama na si eti polisi.
Hivi ni vituko ambavyo bado siviamini,unless mtupe more info.

bahati nzuri ni wao kwa wao
 
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.

Wana JF,

Kama kweli huyo Millya amekamatwa live leo na police kwa kosa gani alimtukana Riz au?? au ndio yale mtu anatumia sheria au cheo cha baba kujaribu kuwakandamiza wenzake?? na kama kukamatwa kwake kuahusisha mambo ya siasa basi ndio hapo nauhakika UVCCM inatokomea live ndio maana leo asubuhi nilichat na rafiki yangu wa arusha akaniambia CCM imekufa sasa sikujua ndio nimepata picha halisi sasa

kama mtu akikosolewa kwenye jukwaaa ni kosa nalo sijui
 
kwa hiyo? Unatuchelewesha kujadili. Kama umechoka, lala hata hivyo unaulazimisha ubongo wako kufikiri wkt bado hujafikia umri wa kuwa hivyo.

Etyi hbr haina source....tehe...una maana imejiandika na kujipost hap jf?
 
Ngoja nichukue jembe nikalime maana nimechoka namatukio yakilasiku, kwenye kampeni zakutaka nafasi zauongoz mahodari kuongea ,mkishapata nafasi mnaanza kulumbana wenyewe kwa wenyewe
 
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.
Kauli yako inatia shaka, kama alimtaja wiki iliyopita kwa nini akamatwe leo, labda ana kosa jingine.
 
Back
Top Bottom