Millya anatafutwa na polisi athibitishe mtoto wa kigogo anawatuma polisi

mpashaji wangu kaniambia sababu kubwa ambayo polisi wamemkamata Millya ni yale maneno aliyotoa wakati wa uzinduzi wa mashina kwamba riz hapaswi kuingilia siasa za vijana na pia watanzania hawakumchagua riz awe rais wamemchagua baba yake lakini la ndani zaidu kuna harusi ya kada mmoja wa ccm ambayo ilifanyika huko moshi baada ya harusi kulikuwa na kikao kisicho tambulika kisheria ambacho kiliongozwa na mkit uvccm ndugu benno yaliyoelezwa humu yalimkashifu sana riz na baba yake nafkiri nayo ni sababu!
Mbona taarifa zinasema hajakamatwa ila anatafutwa kwa kosa la kusema kuna kigogo alipiga simu kuwa Polisi wazuie mkutano wa juzi...
 
good to watch.... Nice to hear pia.. Hawa jamaa ni what wanataka sasa? Si hata wangempa kesi nyingine lakini hii ya kutaja tu?? Mbona wengine wengi wanatajwa?

Ukiangalia Kimtaa Zaidi, Na Vijiwe Si Ndio Vingi Kuliko Ofisi
 
Mkuu Burekicheko.

Millya hana kosa atashitakiwa kwa kosa gani ngoja tusibiri polisi wakati mwingine wanaweka akili kando hili mkubwa wao acheke.

Duh!? Kumbe na wewe upo kambi ya Lowasa? Ndio maana humpendi Lema maana alimshinda demu wake!!?
 
Mijibwa koko inaanza kung'atana sasa, raha ilioje, watakamatana sana , watauana sana, watawekeana sumu sana, watasemana sana kwenye vyombo vya habari na watasengenyana sana lakini kamwe hatudanganyiki.
 
Jamani chadema waokoeni wenzenu wanamalizana.mkichukua dola mtakosa mpinzani hki chama kikifa shime jaman wanachadema.
 
Halafu hawa CCM na serikali yao wana tuzingua juzi CCM walizuiliwa kufanya mkutano lakini cha kushanga benno akasema watafanya na polisi hawata wafanya kitu na kweli wakafanya na polisi hakuna walicho kifanya leo polisi wana ulizwa wanasema wamewapa ovyo, ovyo lenyewe hata siyo la maandishi lakini ingekuwa ni CHADEMA mabomu yangelindima...........................
 
Halafu hawa CCM na serikali yao wana tuzingua juzi CCM walizuiliwa kufanya mkutano lakini cha kushanga benno akasema watafanya na polisi hawata wafanya kitu na kweli wakafanya na polisi hakuna walicho kifanya leo polisi wana ulizwa wanasema wamewapa ovyo, ovyo lenyewe hata siyo la maandishi lakini ingekuwa ni CHADEMA mabomu yangelindima...........................

simba akimla swala TANAPA watamuadhibu simba?????
 
Mafali wawili wagombanapo...........kaaaaaazi kweli kweli nyie uaneni tu sisi CDM mbele kwa mbele nyie endeleeni kujifia huko
 
Back
Top Bottom