Millya anatafutwa na polisi athibitishe mtoto wa kigogo anawatuma polisi

bahati nzuri ni wao kwa wao
natamani wachapane ngumi jaman,kama kweli kakamatwa bse of .............................................................................................. riz kazi ipo
 
riz1 mbona wakati unasoma mkwaw 1998-2000(HGL) ulikuwa na tabia njema na nzuri,inakuwaje kila kona sasa inakuongelea vbaya?waaaaaaaaaaaaaaaaaaaachie uvccm yao,wamekuchoka,iga tabia za watoto wa marais waliopita
 
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.

kwa taarifa sahii ni kuwa Milya anatafutwa akajibu kwanini aliandaaa mkutano wa hadhara bila kibali na kutoa maneno ya kashfa kwa Mtoto wa Rais ambae ni Ridhwan Kikwete, Hiyo ni taarifa kutoka Police Arusha.

Maswali kwa Police!

kama tulivyo ambiwa na taarifa nyingi zilipita kwa magazeti hao UVCCM walikuwa na mikutano kwenye kata hizo walizokuwa wakifungua na kuwa na mkutano wa hadhara maeneo hayo na paka tolewa Ulinzi wa Police.
Je Iweje leo Police wanasema wanamtafuta Milya kwa kutokuwa na kibali cha kuhutubia mkutano wa hadhara na kumkashifu Mtoto wa Rais?
Je kwanini walikuwepo kulinda au kutoa usalama?
Je na kwanini baada ya kumaliza mkutano hawa kumkamata pale pale ??
Je Hii inatuambia nini kuhusu uwajibikaji wa Jeshi la Police huko arusha?
hii picha yatoa taswila mbili

My Take;

Police acheni kutumiwa na wa/mtu wa/mkubwa, Police anapofika kutoa maamuzi kama hayo kwa kuto angalia tukio halisi lilikuwaje basi police huyo he doesnt serve his Country na ana hudumia kundi fulani la wakubwa

Waandishi wa habari tunawaomba mtupe mchakato mzima ulivyo kuwa na mtupe maoni yenu na ntashangazwa sana kwani police aliye toa hiyo statement hakupigwa maswali kwani am sure kulikuwa na maswali mengi ya kumuuliza na ayajibu.

Police aliye toa hiyo statement kwa akili yake ajue amekili upungufu wa fikra/utawara katika jeshi la police
 
Millya anatafutwa kutoa ufafanuzi wa mtoto yupi wa kigogo aliyewashinikiza polsi kuzuia mkutano wao wa kufungua mashina na pia ni polisi yupi aliyetumiwa kwani yeye alitamka juu kwa juu chukwaani bila ya kutaja majina,pili [polisi wanadai kwamba ni umoja huo ndiyo uliotoa taarifa ya kuahirisha mkutano na ufunguaji wa mashina yake oktoba 9 lakini ukaendelea oktoba kumi bila ya kibali laini issue ya polisi ni kwamba millya awatajie mtoto huyo wa kigogo na polisi aliyetumika kuzuia mambo ya uvccm
 
Polisi wamkamate:

1) Malisa kwa kutomtaja mtu anayevuruga UVCCCM.''alisema anamjua''
2) Nape, kwa kusema anawafahamu kikundi cha watu wanaovuruga CCM.......polisi imkamate awataje hao watu!!

Ukenge tu huu!!!
 
Kampeni ya kuhakikisha kwamba raisi wa ccm hatoki kaskazini naona inaendelea, na bila shaka itashika kasi sana siku za hivi karibuni.

Lakini kwakuwa hawa wawili wanaounda utatu hawakukutana barabarani, sidhani kama baba riz atakuwa amehusika katika kukamatwa kwa milya.

Sidhani kama baba riz anaweza kumtikisa mtoto wa lowasa. Mi nadhani kuna kitu kinatengenezwa hapa kuwapumbaza watu, tuwe makini sana na hizi sarakasi za ccm kaskazini mwa nchi!!
 
kwa taarifa sahii ni kuwa Milya anatafutwa akajibu kwanini aliandaaa mkutano wa hadhara bila kibali na kutoa maneno ya kashfa kwa Mtoto wa Rais ambae ni Ridhwan Kikwete, Hiyo ni taarifa kutoka Police Arusha.

Maswali kwa Police!

kama tulivyo ambiwa na taarifa nyingi zilipita kwa magazeti hao UVCCM walikuwa na mikutano kwenye kata hizo walizokuwa wakifungua na kuwa na mkutano wa hadhara maeneo hayo na paka tolewa Ulinzi wa Police.
Je Iweje leo Police wanasema wanamtafuta Milya kwa kutokuwa na kibali cha kuhutubia mkutano wa hadhara na kumkashifu Mtoto wa Rais?
Je kwanini walikuwepo kulinda au kutoa usalama?
Je na kwanini baada ya kumaliza mkutano hawa kumkamata pale pale ??
Je Hii inatuambia nini kuhusu uwajibikaji wa Jeshi la Police huko arusha?
hii picha yatoa taswila mbili

My Take;

Police acheni kutumiwa na wa/mtu wa/mkubwa, Police anapofika kutoa maamuzi kama hayo kwa kuto angalia tukio halisi lilikuwaje basi police huyo he doesnt serve his Country na ana hudumia kundi fulani la wakubwa

Waandishi wa habari tunawaomba mtupe mchakato mzima ulivyo kuwa na mtupe maoni yenu na ntashangazwa sana kwani police aliye toa hiyo statement hakupigwa maswali kwani am sure kulikuwa na maswali mengi ya kumuuliza na ayajibu.

Police aliye toa hiyo statement kwa akili yake ajue amekili upungufu wa fikra/utawara katika jeshi la police
Mkuu kumbuka Millya alisema....''tumemchagua baba yake atuongoze, sio yeye..ridhiwani''
Sasa Ridhiwani anawaonyesha kwamba uraisi ni swala la kifamilia, uraisi wa baba yake ni urais wa familia....

Yeye ni mbwa wa mkuu, hivyo yeye ni mkuu wa mbwa wengine wote including Millya na wenzake.
 
Hao polisi wa arusha wanaomtafuta milya ni wapuuzi kabisa.

Kama mkutano haukuwa na kibali kwanini hawakuusitisha, mbona mikusanyiko ya chadema wanapiga mabomu hovyo hovyo.

Na kama walitumia "busara" mbona wasimkamate punde tu mara baada ya kumaliza kufungua hayo mashina?
 
Hilo neno sio kashifa kabisa mkuu
Maana huyo kijana kaisha wakela wengi na kama ho police wanadhani ni sifa 4yrs sio mingi JK akitoka nae atoweke huyo police hatutaki wafuasi wa watu humu nchini
 
Hao polisi wa arusha wanaomtafuta milya ni wapuuzi kabisa.

Kama mkutano haukuwa na kibali kwanini hawakuusitisha, mbona mikusanyiko ya chadema wanapiga mabomu hovyo hovyo.

Na kama walitumia "busara" mbona wasimkamate punde tu mara baada ya kumaliza kufungua hayo mashina?

Hapo kwenye red mzee umesema safi maana hilo liko wazi leo tumejua kuwa Police ni vibalaka wa wakubwa fulani na wao ni kufuata order na sio kutumia ufanisi wa kazi yao inavyo paswa kufanywa police wenyevyeo wamekuwa vibaraka vya wanavigogo fulani humu nchini
 
Polisi wamkamate:

1) Malisa kwa kutomtaja mtu anayevuruga UVCCCM.''alisema anamjua''
2) Nape, kwa kusema anawafahamu kikundi cha watu wanaovuruga CCM.......polisi imkamate awataje hao watu!!

Ukenge tu huu!!!

Naongezea

2) Nape, kwa kusema anawafahamu kikundi cha watu wanaovuruga CCM na kula njama za kumtoa kwa nguvu mwenyekiti wa CCM Taifa uenyekiti wake ili asiwe na kofia mbili .......polisi imkamate awataje hao watu!!
na wa
 
Kampeni ya kuhakikisha kwamba raisi wa ccm hatoki kaskazini naona inaendelea, na bila shaka itashika kasi sana siku za hivi karibuni.

Lakini kwakuwa hawa wawili wanaounda utatu hawakukutana barabarani, sidhani kama baba riz atakuwa amehusika katika kukamatwa kwa milya

Sidhani kama baba riz anaweza kumtikisa mtoto wa lowasa. Mi nadhani kuna kitu kinatengenezwa hapa kuwapumbaza watu, tuwe makini sana na hizi sarakasi za ccm kaskazini mwa nchi!!

...ni kweli rezone alisema atahakikisha rais hatoki kaskazini...akiwa bagamoyo kwenye baraza kuu la mkoa wa pwani.....kaskazini...alitokea Sokoine Akapigwa risasi ya kisogo....Mrema hakuwa na degree na Lowassa ndio hive....Tanga pale labda January .,.umri hauruhusu....

Naona machungu ya kaskazini mbeya nayo wanayaonja.....

Sasa mwaka 2015 ....rais Kama kaskazini hawataki ...basi wataungana wote kumuunga mkono...mgombea toka Kanda ya ziwa.
KIkwete aliwadanganya Wakamuunga mkono basi akawatosa......
 
Mwenyekiti UVCCM amekamatwa na polisi baada ya kile kinachodaiwa kumsema riz wakati wa kuzindua mashina ya chama wiki iliyopita huko Arusha,Millya alimtaka riz aache kuingilia uvccm. Tukio hilo limetokea mchana huu huko mjini Arusha.

UVCCM Arusha kuna jambo la mfano wanataka kufanya nalo ni kutafuta gia ya kuondoka. Nataka nitabiri kwamba Arusha ni kitovu cha mabadiliko makubwa. Kama azimio la Arusha lilifanyika Arusha na kuleta mabadiliko basi na mauti ya chama dhalimu cha CCM yatatokea Arusha na kwenda kuzikwa Dar. Tuamini tusiamini mabadiliko makubwa yanakuja in favour of CHADEMA. Ukiona mtoto aliyefungwa mgongoni kaanza kunyoosha miguu ujue anataka kushuka; hiki ndicho kinachoitokea CCM. Watoto walioko mgongoni siyo tu wananyoosha miguu lakini pia wanapiga kelele !!!!
 
Back
Top Bottom