Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
mi nimeskia huku chang'ombe..
Kibamba ndo wapi wakuu!!? Mtoa mada unaelezea mvua inavonyesha lakini umeshindwa kuelezea location ya kibamba!! Very pathetic!!
Poleni labda wanafanya mazoezi ya vita si lowassa kasema tumejipanga kivifaa?
Mara mabomu mara riadha, wapi na wapi!!!!?
Kibamba ni mpakani na Malawi? weka wazi plz.
milipuko inayodhaniwa kuwa ni ya mabomu inaripuka sasa hivi maeneo ya Kibamba.
Umeme umekatika na hali ni ya wasiwasi...
Mlipuko ni wa 4 sasa.
Nje manyunyu ya Mvua yanadondoka huku kukiwa hakuna ripoti kamili.
Maeneo ya Karibu kuna kambi ya jeshi...
the sagga continua...
Unazungumzia wapi? Allepo au TZ?jamani kuna tetesi za kulipuka kwa mabomu usiku wa kuamkia leo,yeyote mwenye kujua/kusikia chochote atujuze.
Hebu Laleni Acheni woga Transformer zimezidiwa zimebutuka moja baada nyingine ....somalia mtakaa kweli nyinyi ?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Tuombe ya Mbagala yasijirudie au mama wa Kimalawi ameamua kufanya kweli wakati rais wenu yuko akitanua Ghana. Mie simo shauri yenu mnamchokoza mama mwenye misuli kuliko wanaume laini wa kibongo. Tupeni update basi. Kama ni mibomu ya jeshi sijui Hussein Mwinyi atanusirikaje. Maana itajengeka dhana kuwa wizara yake ya ulinzi sasa kazi yake ni kuua wabongo wasio na hatia. Akiambiwa ajiuzulu analeta za kuleta.
Mkuu huna updates?? Jamaa mbona alishaondolewa wizara hiyo muda mrefu??Tuombe ya Mbagala yasijirudie au mama wa Kimalawi ameamua kufanya kweli wakati rais wenu yuko akitanua Ghana. Mie simo shauri yenu mnamchokoza mama mwenye misuli kuliko wanaume laini wa kibongo. Tupeni update basi. Kama ni mibomu ya jeshi sijui Hussein Mwinyi atanusirikaje. Maana itajengeka dhana kuwa wizara yake ya ulinzi sasa kazi yake ni kuua wabongo wasio na hatia. Akiambiwa ajiuzulu analeta za kuleta.