Milango ya Mninga,Mkongo kwa bei poa

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Habari wana JF kupitia dirisha la matangazo madogomadogo tunapenda kuwakilisha bidhaa yetu hii kwa wale walio katika masuala ya ujenzi,tunatengeneza milango ya mkongo na mninga kwa garama nafuu kabisa wasiliana nasi kwa simu namba;0713876210.au email;akamanyusi@yahoo.co.uk
 
Attachments

  • clip_image002.jpg
    clip_image002.jpg
    38.7 KB · Views: 1,583
  • clip_image001.jpg
    clip_image001.jpg
    18.1 KB · Views: 1,718
UTAJE BEI RAFIKI!achana na sanaa za ujanja ujanja.hapa kuna wataalamu wa kila aina
 
jamani, namba ya simu iko hapo juu, mwenye shida apige!!!! wengine siyo wateja wala nini.
 
jamani, namba ya simu iko hapo juu, mwenye shida apige!!!! wengine siyo wateja wala nini.
mdogo wangu haya mambo hayaendi kienyeji.kila kitu kipo wazi.

KWA MFANO:eek:fisi ninayofanya kazi mimi,mlango wa hardwood kama anayoinadi mheshimiwa,tunachaji kwa sq.m sh 265000/=.anatakiwa aseme kabisa rate zake,ikibidi hata his/her LOWEST PRICE HE/SHE CAN OFFER.hapa hatuuziani nguo jamani,msi-abuse professional za watu
 
mdogo wangu haya mambo hayaendi kienyeji.kila kitu kipo wazi.

kwa mfano:eek:fisi ninayofanya kazi mimi,mlango wa hardwood kama anayoinadi mheshimiwa,tunachaji kwa sq.m sh 265000/=.anatakiwa aseme kabisa rate zake,ikibidi hata his/her lowest price he/she can offer.hapa hatuuziani nguo jamani,msi-abuse professional za watu

nilijua tu, wewe ama si mteja ama ni competitor, huyu manyusi hajaanza leo kuleta fanicha hapa jf, ni kweli ingekuwa vizuri kama angeweka bei hapa, lakini ni kweli pia kama mtu anahitaji kweli milango hiyo akiiona na kmvutia atam pm au kum email mara moja. Any way manyusi kuna mteja hapa anataka bei ya milango hiyo
 
Not to rain on your parade, hii miti si some sort of endangered species nyumbani?

Tuna environmentally conscious consumer humu na tungependa kujua miti inavyopatikana na kama kuna athari yoyote kwa mazingira.
 
Habari wana JF kupitia dirisha la matangazo madogomadogo tunapenda kuwakilisha bidhaa yetu hii kwa wale walio katika masuala ya ujenzi,tunatengeneza milango ya mkongo na mninga kwa garama nafuu kabisa wasiliana nasi kwa simu namba;0713876210.au email;akamanyusi@yahoo.co.uk

Mi ninahitaji lakini sina simu wala baruapepe nafikaje dukani kwako Mheshimiwa?[/SIZE]:eek:
 
Tuwekee bei za milango hiyo...Kama mtu akiridhika na bei kutokana na mapendezeo yake basi atakupigia simu au kuku email..

Wengine credit zetu kwa simu ni zaku hendeli bana....!
 
Taja bei,unatakiwa uambiwe mara ngapi,ulileta vitanda bila bei mpaka ukaambiwa taja bei,hakika wabongo ujasiriamali kwetu unasafari ndeeefu kama ya kukwea mlima Kilimanjaro
 
wabongo bana kila kitu mnataka kiwe straight si mmepewa namba hapo juu au??Mpaka mtafuniwe??
 
wabongo bana kila kitu mnataka kiwe straight si mmepewa namba hapo juu au??Mpaka mtafuniwe??
hata kama kaweka namba ni muhimu kujua bei ya kuanzia kuilok kusema tu eti kuna namba, namba ndio bei, hiyo namba itatumika baada ya kuona bei bana. halafu huyu jamaa ndio kawaida yake kila tangazo lake akiweka hapa huwa halijitoshelezi, nashauri nenda kwa watu wa matangazo wakufundishe jinsi ya kutoa matangazo ya biashara
 
wabongo wanapenda windoshopingi! waone bei kwanza walinganishe ni vitu toka china teh teh! manyusi usiweke bei wanakuzingua tu mkulu, mwisho watakwambia wanataka kujaribishia teh teh! samahani wakuuu, najua mwenye shida na milango tayari ameshawasiliana na manyusi long tym
 
Ndugu yangu Manyusi kwanza nakupongeza kwa kujitangaza kuhusu hiyo milango, pili zijue mbinu zte za marketting, kutaja bei haimfukuzi mteja wala kufanya competitor akuzidi, it jest sets you on the edge.
Angalia mfano wa Piza ama burger za MAcdonanlds au any fast food, utaona kweye TV ads buy one for 5$ or buy two for 10 and get one free. Ndiyo power ya kutangaza. Wewe mpe mteja information zote anazohitaji, bei, ubora wa huo mlango, unatengeza kwa muda gani baada ya kupokea order, finishing yako ikoje, etc. Ili akikupigia simu awe na maeno machache sana kwa kuwa kila kitu umeeleza. sasa mtu aharibu vocha yake kwa kuanza kunegotiate from the air?
Pricing na product marketting vinaenda hand in hand. Leo hii huwezi weka tangazo nauza nyumba tegeta anayetaka apige simu XXXXXXXX no way , lazima useme nyumba ikoje, kiwanja kina ukubwa gani, kuna nini eg garden, car park, fence etc na baadae u put the price at least tentative ili mtu akipiga anajua where to start. sio kwenye simu mteja anauliza oooh nyumba hiyo ina vyoo vingapi? ina master bedroom, ehee ina ukuta? dont you find this a big waste of time?
Lets use our brains to market our products.
 
oya manyusi vp mkulu, mm nakusaidia kutuliza ghasia na kuvuta wateja wewe umenyuti nyuuuu! ten percent yangu usisahau kwa wanaoku pm. by the way vile vitanda vya ulanzi bado vipo? kuna mteja anahitaji king size tano.
 
Wabongo bana! I thought unasupport approach yake independently, kumbe ''you wanted to make a deal out of deal''?
 
Habari wana JF kupitia dirisha la matangazo madogomadogo tunapenda kuwakilisha bidhaa yetu hii kwa wale walio katika masuala ya ujenzi,tunatengeneza milango ya mkongo na mninga kwa garama nafuu kabisa wasiliana nasi kwa simu namba;0713876210.au email;akamanyusi@yahoo.co.uk

Unataka kupigiwa simu au kuuza milango? Nakushauri uweke details zaidi kuhusu bidhaa yako (pamoja na bei) ili kupunguza maswali na simu zisizo za lazima. Kwa mfano:
  • Unapatikana wapi (workshop, showroom)?
  • Gharama nafuu kwao ni shilingi ngapi? (i.e. taja bei)
  • Milango unayotengeneza wewe ina tofauti gani na ile ya watengenezaji wengine?
  • Mlango mmoja unakuchukua muda gani kuutengeneza?
 
Back
Top Bottom