blueskycargo_
Member
- Feb 6, 2024
- 17
- 33
Bluesky Air Cargo ni kampuni ya kitanzania inayotoa huduma za usafirishaji wa bidhaa na mizigo kutoka China hadi Tanzania kwa ndege. Tunajivunia kutoa huduma ya haraka na ya kuaminika kwa wateja wetu. Kwa kutumia huduma zetu, mteja anaweza kutarajia kupokea mizigo yake ndani ya siku 3 hadi 5 tu baada ya kuagiza kutoka China.
Tunajivunia uaminifu na umakini katika biashara yetu ya usafirishaji. Tumejitolea kuwa kinara katika usafirishaji wa mizigo kutoka China kwa ndege, tukizingatia ubora na kasi ya huduma zetu.
Ni muhimu kwa wafanyabiashara kununua bidhaa nchini China kutokana na bei nafuu, ubora wa juu, na aina mbalimbali za bidhaa zinazopatikana.
Tunatoa fursa kwa wafanyabiashara wa makundi yote, wakubwa au wadogo, kuagiza bidhaa kutoka China kupitia Bluesky Air Cargo. Tunawasaidia wateja wetu kwa kuwatafutia suppliers bora nchini China ili waweze kupata bidhaa kwa bei ya kiwandani. Hata wale wanaonunua kupitia majukwaa kama Alibaba wanaweza kutumia huduma zetu na kufurahia ufanisi wa usafirishaji.
Bidhaa tunazosafirisha ni pamoja na nguo, jezi za mpira, nguo za ndani, mikoba na mabegi, vifaa vya simu, nywele bandia, vifaa vya urembo, na zingine nyingi.
Huduma zetu zinajulikana kwa bei nafuu ikilinganishwa na ubora wa huduma tunayotoa.
Bluesky Air Cargo hulipa kodi zote za serikali na mambo mengine ya forodha, hivyo mteja anakuwa na uhakika kwamba mzigo wake utapokelewa bila usumbufu wowote. Tunatoa ushauri wa kitaalam kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo ambao wanataka kuanza kuagiza bidhaa kutoka China. Tunaamini katika kukuza biashara za wateja wetu na tunajitahidi kuwapa suluhisho la usafirishaji bora na wa kuaminika.
Karibu Bluesky Air Cargo, tunatarajia kufanya kazi pamoja nawe! Tuna Ofisi Tanzania na China, kwa Tanzania Ofisi yetu ipo Dar Es Salaam Kariakoo Mtaa wa Kongo na Kibambwe nyuma ya Bank ya UBA na China Ofisi yetu ipo Guangzhou China
Wasiliana nasi leo
0753184383
blueskyaircargo9@gmail.com