hata kama kaweka namba ni muhimu kujua bei ya kuanzia kuilok kusema tu eti kuna namba, namba ndio bei, hiyo namba itatumika baada ya kuona bei bana. halafu huyu jamaa ndio kawaida yake kila tangazo lake akiweka hapa huwa halijitoshelezi, nashauri nenda kwa watu wa matangazo wakufundishe jinsi ya kutoa matangazo ya biashara
Ndugu yangu Manyusi kwanza nakupongeza kwa kujitangaza kuhusu hiyo milango, pili zijue mbinu zte za marketting, kutaja bei haimfukuzi mteja wala kufanya competitor akuzidi, it jest sets you on the edge.
Angalia mfano wa Piza ama burger za MAcdonanlds au any fast food, utaona kweye TV ads buy one for 5$ or buy two for 10 and get one free. Ndiyo power ya kutangaza. Wewe mpe mteja information zote anazohitaji, bei, ubora wa huo mlango, unatengeza kwa muda gani baada ya kupokea order, finishing yako ikoje, etc. Ili akikupigia simu awe na maeno machache sana kwa kuwa kila kitu umeeleza. sasa mtu aharibu vocha yake kwa kuanza kunegotiate from the air?
Pricing na product marketting vinaenda hand in hand. Leo hii huwezi weka tangazo nauza nyumba tegeta anayetaka apige simu XXXXXXXX no way , lazima useme nyumba ikoje, kiwanja kina ukubwa gani, kuna nini eg garden, car park, fence etc na baadae u put the price at least tentative ili mtu akipiga anajua where to start. sio kwenye simu mteja anauliza oooh nyumba hiyo ina vyoo vingapi? ina master bedroom, ehee ina ukuta? dont you find this a big waste of time?
Lets use our brains to market our products.