Mikoa au Kabila lenye wanawake warembo/wazuri Tanzania

DAR imechanganya wanaotoka mikoa hio mingine yote,nilitegemea iwe juu! Nimetembelea mikoa michache kwa kweli mikoa mingine ikiwemo hio top ten ysko kupsta mrembo ni shughuli! Anyway uzuri/urembo upo machoni mwa mtu!
 
hebu nenda wilaya ya manyoni singida sehemu moja inaitwa msemembo ni kijijini ukitoka hapo unakuja kuedit uzi huu,wapi wale waangaza kule kagera?dar nayo si haba kila pande kuna totoz kaleee hatari
 
Beauty is subjective...the list is ok in YOUR OWN perspective.

Tupo kizazi cha tamaa hivi huoni warembo wanazailiwa daily utapenda wangapi wewe wa kukurupuka?!! poa tukusaidie kigezo mojawapo be beauty at 20 age, successful at 30 age wiser at
age of 40 short of that you can't be!!!!!
 
hiyo Mwanza sijui imekaaje juu ya Arusha.

Na sijajua Morogoro na Mara imekaaje juu ya Kilimanjaro......?......
Hivi anatujua vizuri huyu kweli.......?...
Sio naongea taratibu.......ni kwamba hata sisi wenyewe tunajijua........hatusubiri kuelezwa na mtu.........
 

Attachments

  • 1427617058370.jpg
    1427617058370.jpg
    3.8 KB · Views: 1,445
Na sijajua Morogoro na Mara imekaaje juu ya Kilimanjaro......?......
Hivi anatujua vizuri huyu kweli.......?...
Sio naongea taratibu.......ni kwamba hata sisi wenyewe tunajijua........hatusubiri kuelezwa na mtu.........



Vigezo na masharti,

Sura, umbo, kitandani, mapishi, kujali
 
kama ni warembo dar ingekua ya kwanza wadada wanapenda kujipodoa mnoo.
ila kwa uzuri ingebidi uzingatie Arusha.manyara,mwanza na Tanga kwanza
 
Back
Top Bottom